Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Kuheshimiana na kuvumiliana kwa dini zetu ni muhimu sana , kaka yangu huwezi kuheshumu bila kuvumilia ile hali ya utofauti wa dini hizi.

Tetty,

Kuvumiliana na Kuhishimiana HATA SIKU MOJA HAKUWEZI KWENDA SAMBAMBA. Haya ni maneno mawili tofauti.

Kumbuka huwezi mtu unayemuheshimu ukamtukana ukitaraji akuvumilie kila unapomtusi.Ni laazima uamue moja ima umuhishimu au umvumilie LAKIN SIKU ZOTE PALIPO NA HISHMA HAKUNA KUVUMILIANA.

Watu wanatakiwa KUHISHIMIANA na SIO KUVUMILIANA na ndio hicho kilichosababishwa Muumba kuumba Pepo na Moto.

Labda tudadavulie ni dini gani inayosisitiza KUHISHIMIANA NA KUVUMILIANA KWA WAKTI MMOJA?

 
Tatizo la hawa ndugu zetu ni kukosa elimu na kukimbizana na tamaduni za kiarabu. Sasa wanashindwa kutofautisha kati ya mambo ya mwili na roho.


Tatizo lenu ni kunyimwa fursa ya kujisomea wenyewe maneno ya Mola katika Bible bali mnatafuniwa kila kitu na kupewa katika katekism na Chuo kidogo cha Sala. Bible wanasoma viongozi tu wa Kanisa ndio maana unashindwa kutofautisha NIA na DHAMIRA ya kila jambo na matendo yake.

Lakin baya zaidi mnapenda na mnakumbatia na kutukuza mambo ya kizungu bila kuangalia mila zao. Kumbuka kule Ulaya watu wanaingia kanisani na Kaptura na wengine wanasali wakiwa katika TV nyumbani kwao huku wakipata ulevi.

Mbona ujiulizi makanisa na Ulaya yameruhusu ndoa za jinsia moja, Mbona mpaka leo Hapo Bongo makanisa yanapinga uhalali wa ndoa hizo?

Fikiria kabla kuandika.

Pole sana
 
zanzibar hasa hakna mkristo nature, wakristo wote wanatoka tanganyika kwa uhahid kabisa, kama hamuamin njooni mufanye utafiti , tulifanya makosa baada ya kufungwa biashara ya utumwa hatujakurejesheni kwenu, mnatulazimisha kufuata ukristo lakn mtashndwa inshallah,
 
We mleta mada wacha chokochoko....hivi mdogo wako au mwanao hachapwi na bakora shuleni??....gharika itokee kwa jitu zima kama ww kupewa kichapo km anachopewa mtt mdogo shule?? Wacha kuleta chuki muhuni ww. Miaka tangu enzi na jadi hao unaowaita 'wazanzibari wakristo' wanaijua hii mila inapofika mwezi wa Ramadhan , leo hii umetoka huko na njaa zako umekuja kutuekea utumbo hapa
 
Tatizo la hawa ndugu zetu ni kukosa elimu na kukimbizana na tamaduni za kiarabu. Sasa wanashindwa kutofautisha kati ya mambo ya mwili na roho.

nyie na elimu yenu pamoja na utamaduni wa kizungu ndo maana maaskofu wenu wanaliwa tigo
 
Mtume wa kweli anaswaliwa " allahumma swali Alaa Muhammad kama swalaita alaa ibrahima....si umeona hapo tumemsalia mtume Muhammad na mtume Ibrahim "baba wa imani"

Ungemwambia wanapigiwaga 'magoti tuu'....
 
Kwani wakila hadharani kinakuuma nini wewe ambae umefunga.

Hakituumi chochote...ila hii ni mila km mila za kwenu vijijini, wengine huziona hazina maana ila watendaji zinawagusa sana...same applies
 
Mbona uulizi kwanini makanisa mengi sana huko Tanzania Bara yanazuia kwa nguvu zote waumini kuingia na vimini wakti wa ibada? Je hujui kwa nini?


Kuingia na vimini msikitini ni tofauti na kula chakula hadharani.
 
hakuna anaelazimishwa kufunga hapa zanzibar.kwa wale ambao hawadungi wanakatazwa wasile hadharani kakini.kwa maana hiyo wanatakiwa wale majumbani kwao.kutokana na huvo viongozi wa serikali,mashekhe na waumini hutangaza kwamba si.ruhusa kula hadharani ndani ya mwezi mtukufu wa ramadhani.suala hilo halipo ndani ya sheria lakini serikali ina haki ya kutoa amri ya kitu fulani kisifanywe iwapo kinaonesha kuleta madhara fulani.suala la serikali kukataza watu wasile hadharani ni sawa na kukataza maandamano kutofanyika.serikali hii leo iseme ni ruhusa zanzibar wasio waislamukula hadharani hapo patatokezea ugomvi mkubwa usio zuilika

Wao wakila hadharani wewe unapata tatizo gani?? Hivi unajua maana ya kufunga? na kwanin unafunga?
 
Kanisa haliendi mitaani na kuzuia watu kuvaa vimini. Msomi kama wewe mbona hili unalijua sana?

Mkienda Ulaya au USA na Ramadhani zenu, mnaona mabaya zaidi ya hayo ya Tanzania. Summer kama hii, watu wanakunywa pombe nje nje na hamlalamiki, Vimini nje nje na Vi-Tishrt vya kuchokoza. Mkifika tu Tanzania, mnajifanya mmekuwa watu wa dini.

Ndo ujue kwamba waislam ni wastaarabu...
 
Naamini waislam waliokomaa hawatendi ujinga huu
 
kama viongozi wa kiislam wanalifumbia macho jambo hili naona uislamu unaelekea kubrazuka.

wenye akili peke yao ndio watanielewa.
 
Ndo ujue kwamba waislam ni wastaarabu...

uislam stresss tupu, manake wanasema ni dini inayohimiza amani, lakini dini yenyewe inasema ukiua katika mazingira ya kuitetea dini ya mungu (kana kwamba huyo mungu kawa powerless to defend himself and his property) unapata thawabu, sasa unaweza kuua bila kuitowesha amani!!!!!!!

kuna elements za kigaidi kwenye hii mambo.
 
Kumbe ndomana kuna mashoga wengi huko!

Hao unaowaita mashoga wana familia haipungui watoto 7.

Huyo baba yako ambae yeye ndio basha ana mtoto wewe mmoja tu na haijulikan kama yeye ndie baba au kama kawaida yenu kusaidiana kuingilia unyumba!
 
Back
Top Bottom