Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Yanayoendelea Zanzibar tusubiri majibu ya Wahanga na kuzaa gharika

Kunatofauti kubwa sana kati ya kunyimwa kuingia kwenye kanisa(private place) ukiwa umevaa kimini na kuzuiwa kula kwa mamamtilie (public place) na kuwa assaulted kwa kuchapwa viboko. Shirikisha ubongo we mburula
Wacha viboko,kanisani wamepigana,na wanaendelea kupigana,Waprotestant na wakatoloki,Ireland ya Kaskazini,wameuwana na kuchinjana,na dunia nzima hawa waprotestant na wakatoliki hawaelewani.
 
Tusi hapa liko wapi? Eti waislam wenzangu, mtume mohamad hakumposa bi aisha akiwa na umri wa miaka SITA? (Je hili ni tusi?). Je hakumwingilia akiwa na miaka TISA? (Je tusi liko wapi hapa?).
Mariya alimzaa Yesu ana miaka 13,na kabla ya halo alikuwa na mchumba Yusuph,fikiria mimba ilitungwa ana miaka mingapi na alia za mbo hayo ana miaka mingapi.
 
na kabla ya hapo alikuwa na miaka 25 "akaoa" mama wa miaka 40!
Marya alimzaa Yesu ana miaka13,na kabla ya alikuwa na mchumba Yusufu,fikiria alikuwa na miaka mingapi alipoanza mambo hayo ya ukubwani.
 
Swala la kufunga ni imani ya mtu. Na imani ya mtu inatakiwa imwezeshwe kujizuia anapokutana na majaribio. Kama unashindwa kufunga kwasababu kuna jamaa wanakula basi wewe imaniyako zaifu. Vivyo hivyo kama unashindwa kujizuia kuzini mapaka unawalazimisha wanawake wavae kama maninja basi imani yako zaifu.
Mbona mnazuia wanawake kuingia na vimini makanisani,na pia hamuiingia na chupi tu makanisani,kwa hiyo makanisani imani zenu ni dhaifu.
 
siku zote mambo ya ya yericko ni fyatu.

Nimestushwa na kuogopa tena nikalazimika kuisoma Katiba ya Zanzibar mara mbili.

Leo Waislamu wa Zanzibar wanawavamia na kuwapiga vibaya Wazanzibar wenzao ambao sio Waislamu kwakuwa tu wanakula kwa mama lishe mchana mda ambao wale waislamu wanakuwa wamefunga,

Vipigo vimeenea kila kona ya mji wa Zanzibar na uhasama unakua kila kukicha, serikali ipo kwenye mfungo mtukufu, Wakristo hawa Wazanzibar hawana msaada, nani awaokoe vijana wa kikikristu ambao hawajao wanaotegemea kwa mama lishe na migahawani kupata mlo wao? Nao wafunge???

Nini tutarajie majibu ya wahanga hawa kama sio gharika? Serikali inasubiri kuunda tume baada ya mauaji??

Nimeisoma na kuipekua katiba ya Zanzibar kuona kama kuna kifungu kinachowapa haki waislamu kudhibiti uhuru wa watu wengine,

Zaidi nilitaja kujua kama Zanzibar ni nchi ya kidini au ni nchi inayotawaliwa kwakufuata sharia.

Sehemu mhimu ya katiba ya Zanzibar ni hii hapa, jioneeni kama ni haramu kula chakula hadharani nchini Zanzibar.



SURA YA KWANZA- ZANZIBAR
Sehemu ya Kwanza

1.Zanzibar ni Nchi ambayo eneo la mipaka yake ni eneo lote la Visiwa vya Unguja na Pemba pamoja na Visiwa vidogo vilivyoizunguka na bahari yake ambayo kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ikiitwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.

2. Zanzibar ni miongoni mwa Nchi mbili zinazounda Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2A. Kwa ajili ya utekelezaji bora wa shughuli za Serikali, Rais aweza kuigawa Zanzibar katika Mikoa, Wilaya na maeneo mengineyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
3.(1) Kutakuwa na Muhuri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ambao alama yake itakuwa kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.

(2) Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itakuwa na uwezo wa kuweka kitu chochote kitachokuwa kielelezo cha Serikali kama itavyokubaliwa na sheria iliyotungwa na Baraza la Wawakilishi.
4. Katiba hii ni Katiba ya Zanzibar na itakuwa na nguvu za kisheria nchini kote na isipokuwa kutokana na kifungu 80 ikiwa sheria yoyote inatofautiana na Katiba hii, basi Katiba hii ndiyo itayokuwa na nguvu na sheria hiyo itakuwa batili kwa kiwango kile ambacho kinahitilafiana.

5. Zanzibar itafuata mfumo wa Kidemokrasia wa Vyama Vingi vya Siasa wenye kuheshimu utawala wa sheria, haki za binaadamu, usawa, amani, haki na uadilifu.

5A.(1) Zanzibar itafuata mfumo wa mgawanyo wa madaraka kati ya mamlaka tatu, Mamlaka ya Utendaji, Mamlaka ya Kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki.

(2) Mamlaka ya Utendaji ni Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mamlaka ya kutunga Sheria na Kusimamia Utekelezaji wa Shughuli za Umma ni Baraza la Wawakilishi na Mamlaka ya Kutekeleza Utoaji Haki ni Mahkama.

(3) Hakuna mamlaka itakayoingilia Mamlaka nyengine isipokuwa kama na kwa kadri ilivyoelezwa katika Katiba hii.
 
Kwani hao wanaenda kulia chakula chao msikitini? Halafu kama unashindwa kuvumilia tamaa ya chakula eti kwa kuwa umemuona mtu anakula wakati wewe umefunga, sasa hapo umefunga kitu gani? Waisilamu bwana hawatambui logic behind wanachokitekeleza katika ibada yao, vinginevyo wangeweza kutenganisha mambo ya mwili na roho!

Wewe wacha porojo, nenda ukale Zanzibar nje ule fimbo. Maneno mengi ya nini?

Unataka kuubadilisha utamaduni wao kwa nguvu?

Wewe kama hufungi kula nyumbani kwako, ni lazima upite barabarani huku unafakamia? punguani wahed.

Mie nakwambia sasa, wacha Zanzibar, hapa hapa bara, njoo kijijini kwetu ule njiani, uone micharazo na mboko tutakazo kupa, anuani yetu ni hii, Shungubweni, Mkuranga.

Haya njoo, kama mwili unakuwasha.
 
Huyu mkuda haijui sherria ya zanzibar inasema pindipo utakapokamatwa unakula nje siku ya ramadhani mchana basi adhabu yake ni jela mwaka mzima na viboko juu
 
Tatizo la hawa ndugu zetu ni kukosa elimu na kukimbizana na tamaduni za kiarabu. Sasa wanashindwa kutofautisha kati ya mambo ya mwili na roho.
 
Aisee haya mashetani yakikufumania guest na ushungi girl si yatakata gongeo haya!

Shetani ni familia yako kukulea katika maadili ya kijinga.
Huku Pemba hufiki hata kuingia guest sababu utadaiwa kitambulisho cha ndoa, tukikufuma njian chochoron tu basi imekula kwako.
Hatuwez kuharibu vizazi vijavyo halafu tukaja kulalamika mbelen
 
Iweke hapa mkuu kama kweli ipo

Wewe jamaaa bonge moja la ganda la ndizi, unawaza wakati una viroba kwa kichwa unategemea utatoa nn kama product?

Wafuasi wa ile NGO yebu wengine ni vichaa kabisa.

Sasa huko uliposkia wewe ni afadhali , sasa nakushauri na uwashauri wenzako dont mess with Pemba!

Sisi huku sio kula tu , umevaa nguo yenye utata,umeweka mziki watu wakasikia basi ni hatri sawa na kupitisha ndege Ukraine.

Sisi huku tumeshapiga marufuku ghala iliyotaka kujengwa kwa ajili ya pombe na imefungwa.

Sasa kama ww unasubir katiba iseme na unategemea sheria basi jaribu kuja pemba.

Makabila kibao yana sheria zao na tena munzifuata muukirudi huko makwenu tena ni kijiji tu! Sasa unategemea nini kwa mila na desturi inayofuatwa na kisiwa kizima?
 
Nafikiri unahitaji kujiongeza zaidi na kufikiria nje ya Box. Jaalia mtu ameingia kanisani na amevaa kimini chake, jiulize je wewe muumini mwingine uliekwenda pale kanisani kwa nia ya Ibada inakuhusu nini. Labda kwa kukusaidia waulize wachungaji kwanini mnazuia watu wasiingie kanisani wakti wa ibada wakiwa wamevaa vimini? Pasi na shaka utapata jibu sahihi na hilo hilo liangalie kwa upande mwingine.

Pole sana lakin fanya uchunguzi na pasi na shaka utafaidika na kujua mengi kwayo.
Unazungumzia kuingia kanisani. Ndio maana nikakuuliza, kwani hao jamaa hicho chakula wanaingia nacho msikitini?
 
...Mie nakwambia sasa, wacha Zanzibar, hapa hapa bara, njoo kijijini kwetu ule njiani, uone micharazo na mboko tutakazo kupa, anuani yetu ni hii, Shungubweni, Mkuranga. ...
Huko nakumbuka wanafunzi wa Kibiti Secondary School walikuwa wanaingia na nyama ya kitimoto hadi bwaloni, na walikuwa wanainunulia uraiani mnakoishi ninyi!
 
Wewe wacha porojo, nenda ukale Zanzibar nje ule fimbo. Maneno mengi ya nini?

Unataka kuubadilisha utamaduni wao kwa nguvu?

Wewe kama hufungi kula nyumbani kwako, ni lazima upite barabarani huku unafakamia? punguani wahed.

Mie nakwambia sasa, wacha Zanzibar, hapa hapa bara, njoo kijijini kwetu ule njiani, uone micharazo na mboko tutakazo kupa, anuani yetu ni hii, Shungubweni, Mkuranga.

Haya njoo, kama mwili unakuwasha.

tatizo ni elimu ya madrasa
 
Shetani ni familia yako kukulea katika maadili ya kijinga.
Huku Pemba hufiki hata kuingia guest sababu utadaiwa kitambulisho cha ndoa, tukikufuma njian chochoron tu basi imekula kwako.
Hatuwez kuharibu vizazi vijavyo halafu tukaja kulalamika mbelen

Kumbe ndomana kuna mashoga wengi huko!
 
Marya alimzaa Yesu ana miaka13,na kabla ya alikuwa na mchumba Yusufu,fikiria alikuwa na miaka mingapi alipoanza mambo hayo ya ukubwani.

Wewe unaandika vitu usivyovijua, huyu hakuingiliwa kimwili. Pamoja na kuwa na mimba bado alikuwa bikira, Ndiyo maana waislamu kwa kuzingatia maagizo ya mtume Mohamad tunaamini kuwa Mariamu ndiye mwanamke bora kuliko wote.
 
nafikiri tunamhitaji Rais makini zaidi... mnaotaka Serikali tatu angalieni hili jambo pia kwa macho matatu
 
Wacha viboko,kanisani wamepigana,na wanaendelea kupigana,Waprotestant na wakatoloki,Ireland ya Kaskazini,wameuwana na kuchinjana,na dunia nzima hawa waprotestant na wakatoliki hawaelewani.

Unafunika maji kwa Karatasi
 
Zanziba siyo nchi bali ni kijisehemu cha jamhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom