Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Na bado hapo Serikali haijamuibia huyo mfanyakazi kwa kupitia PAYE, magumashi ya bima ya afya, magumashi ya mafao na vikokotoo vyao. Inasikitisha.Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000 . Kazi masaa 12. Yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.
Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku , hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.
Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.
Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.
Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena .
ongeza bidii katika kufanya kazi kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe🐒Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.
Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.
Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.
Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.
Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.
And if you are not educated that's 2-0.
At this point you have no option than hustling like a donkey.
Ni kwa msimu huu tu!Ndoo moja ya nyanya ni elfu 20 mpaka 30 shambani. Chagua kunyoa au kusuka
haya mambo wazungu walipitia mwaka 1600 to 1800 mwishoni huko ndio kulikuwa na unyonyaji wa design hizi huko ulaya maana hakukuwa na sera wala sheria za kuwalinda wafanyakazi.Kuna kiwanda kiko Pale Keko karibu na ukumbi wa DDC nadhani ni cha cello. Malipo kwa siku ni sh. 3500 kwa siku ilikuwa kwa muda mrefu. Sasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.
Viwanda vingi malipo ni sh. Elfu 5000 kwa siku, hii maana yake lisaa limoja la kazi ni sh. 400. Viwanda vyenye majina makubwa malipo kwa siku ni sh. 7000 hii maana yake lisaa limoja sh mia 6.
Hata kama ni non skilled labor ni haki Mtanzania alipwe sh. Mia 4 kwa lisaa limoja? Ni utumwa wa wazi uliopata baraka za serikali.
Hawa mabilionea wetu akina Bakhressa na Mo huwabebesha Watanzania viroba vya unga wa ngano kwa sh. 50 au pungufu kwa kiroba kimoja. Ni utumwa.
Nimewahi kufanya kazi siku moja tu kwa wahindi Kariakoo ni zaidi ya utumwa , kula juu yangu, nauli juu yangu malipo 7500 kwa siku na kazi very risk. Kazi ya kupeleka mizigo ghorofa ya 12 kutoka chini. Sikurudi tena.
Utumwa .haya mambo wazungu walipitia mwaka 1600 to 1800 mwishoni huko ndio kulikuwa na unyonyaji wa design hizi huko ulaya maana hakukuwa na sera wala sheria za kuwalinda wafanyakazi.
ila cha ajabu sasa leo mwaka 2024 nchi yetu inasera, miongozo na sheria za kuwalinda wafanyakazi hawa lakini wamiliki wa hivyo viwanda bado wameachwa wafanye wanavyotaka mafano kima cha chini kwa sasa kwa siku kwenye viwanda kwa mijibu wa serikali ni tsh. 5,770 kwa siku. kwa wiki 34,618 na kwa mwezi 150,000= bado unajiuliza inakuwaje mhindi mmoja mjinga tu amelowea hapa nchini anawatumikisha ndugu zetu kwa ujira wa 3,500/= kwa siku na bado anakenuliwa meno na viongozi wetu.
je hawa viongozi wetu waliojaa kama utiriri kuanzia serikali za mitaa, kata, tarafa, wilaya, mkoa wanatusaliti au ni wamelogwa au ni nini!
pia hii sheria inatakiwa itamke wazi kabisa haya malipo ni kwa masaa mangapi maana ukisema kwa siku mwingine anawafanyisha watu kazi saa moja asubh hadi saa moja jioni nayo ni siku sheria zetu wenyewe zinatukandamiza haya ni maajabu kabisa.
hivi hakuna wanasheria wanaweza kujitolea kusimamia hivi vitu ili wananchi wanyonge wapate haki yao.
Ngoja nimalizie uchambuzi wa mechi za mwisho wa juma hili kwanza.Once you are born in Africa life is automatically leading you 1-0.
And if you are not educated that's 2-0.
At this point you have no option than hustling like a donkey.
Forgotten mbona unaongea maneno kama mungu mjomba Ako?Hapa ni kama unatwanga maji kwenye kinu. Matajiri wao wanaangalia watabaki na nini baada ya kutoa gharama za uzalishaji, kodi, usafiri, mishahara. Wanataka wabaki na kikubwa kwahiyo sehemu pekee ya kunyonya (kufidia) ni kupitia vibarua: kwasababu wengi wao hawana options nyingi kwenye maisha za kuwaingizia kipato hawana budi kufanya hizo kazi.
Kwasasa Dunia inahama, viwandani inabidi zibaki mashine tu na Engineers. Tulipofikia ni Akili zaidi inayoweza kukupa pesa ya kukidhi mahitaji yako, na hiyo Akili inaenda sambamba na maarifa (elimu). Sasa turudi kwenye nchi yetu: Je, serikali yetu baada ya miaka 60+ toka uhuru imeweza kuwapatia elimu bora watanzania kwa asilimia ngapi? Wenye elimu tu wanalalamika mishahara midogo, hapa ni kila mtu kupambana na hali yake tu.