uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,657
- 2,406
Ndugu yangu,hivi msomi ni yupi?Mkuu hio upo dunia nzima, unaposikia Wazungu wanakimbilia china kwa ajiili ya cheap labor ndio kama hao, saizi wanatoka china wanaenda India kwa ajiili ya watu kana hao,
Unskilled labor dunia nzima mishahara yao ni mbuzi tu, mana wanakuwa hawana mikataba, day worker tu,
Kwa kusema hivyo tuhimizane ndugu zangu kusoma sanaa
Kuna sehemu niliajiriwa,ilikuwa ukiangalia vibarua wengi ni form four na six ambao hawana
wa kuwaendeleza wanasaka chapaa ili wajisomeshe na wengine hawakupata maksi nzuri
ili kuendelea,Sasa ukiangalia mshahara huo kama huna mtu anayekuhifadhi huwezi fanya lolote
utaendelea kuteseka hadi nguvu ziishe.
Cha kufanya,kama kwenu kuna shamba ni heri urudi ukalime,au basi jitahidi uwe machinga