Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Hii ndo kitu kinaitwa vaa uhusika... Ungekuwa wew ndo yeye ungefanyaje?. Mana hata uhalisia upo wa aina mbili Kuna wa kuona na WA kufanya. Anayeona anaona unakosea, anatakiwa yeye akae nafasi yako ili aone wapi uko sahihiLife linaweza kukupeleka sehemu ujategemea kabisa ndomaana mimi simjudge mtu kabisa sijui malaya,barmaid kuna kipind life lilibonda hadi nikaona wanaojiuza wako right.
Kea hiyo umaskin unasababishwa na Nini? Hapa nitajua nazungumza n maarifa ya aina ganMaskini wamepungukiwa na maarifa (akili) ya kutafuta hela
Hii nayo nilishauskia mchakamchaka wake si mchezo. Wafanyakazi wanawakimbia mpaka wanaenda mikoani kutafuta wafanyakazi wengine.Kuna A to Z Arusha [emoji24][emoji24]
Cleaners ndo mishahra Yao ila ulinzi ambao wameajiri wazee ndo wanacheza humo!. Makampuni mengi siku hiz yameamka mana walinzi wa kulipa elf 4 wanapigaga matukio wanasepaKAZI ya ulinzi,usafi malipo ni elf 4 kwa siku kwa masaa 12 kwa makampuni haya haya ya wagangaa njaa waswahili wenzetu.
Ukiona hivyo ujue usimamizi umerudi kwa waswahili.Mkuranga wameanza kubana saiv wachina wanaajiri na mikataba wanakupa plus mambo ya NSSF
True wengine ugeuza malindo kuwa guest.Ulinz una mshahara mdogo sana. Kampuni nyingi hazifiki 200. Ila ukipata LINDO lenye madili unakunja mpaka 2m monthly
Unasababishwa na mambo mengi ila kubwa zaid ni kukosa akili ya kutafuta elaKea hiyo umaskin unasababishwa na Nini? Hapa nitajua nazungumza n maarifa ya aina gan
Tutafute namna ya kuwasaidia hawa watu wetu,sio kila mtu anaweza kuwa na hilo shamba,tuishinikize serikali isikubali watu wake wanyannyaswe kiasi hiki,hawa ni nduguzetu na hii ni nchiyao,mbona Zanziber hakuna upuuzi huu??? Day works sio chini ya 20,000.Kazi za viwandani kama casual! Si kazi wakuu. Bora ununue shamba ukalime
Oke niahajua argument zako. Poa poa ✅Unasababishwa na mambo mengi ila kubwa zaid ni kukosa akili ya kutafuta ela
Kuna akili ya kutafuta ela ambayo ni tofauti na ya darasani
Kigezo cha umepungukiwa akili ya kutafuta hela ni pale unapotumia nguvu kutafuta hela
Kuwa na hela sio ujanja bali ni akili ya ela ukiwa nayo huwezi tumia nguvu
Hata na hvo wengi Ma-HR ni wamatumbi tuUkiona hivyo ujue usimamizi umerudi kwa waswahili.
Hii haichekeshi wala haipendezi ni dalili ya umasikini mwingi sana kwa taifa.Asbh unakuta Kuna foleni watu wanagombea kuingia humo Mzee, Kisemvule Mkuranga sio mchezo
Mkuu upo sahihi kabisa, nipo nchini Singapore [emoji1215] hapa sasa hivi wahindi wamejazana kila kona, bandarini stevedores wote ni wahindi, vibarua vya ujenzi, usafi ni wao tu.Mkuu hio upo dunia nzima, unaposikia Wazungu wanakimbilia china kwa ajiili ya cheap labor ndio kama hao, saizi wanatoka china wanaenda India kwa ajiili ya watu kana hao,
Unskilled labor dunia nzima mishahara yao ni mbuzi tu, mana wanakuwa hawana mikataba, day worker tu,
Kwa kusema hivyo tuhimizane ndugu zangu kusoma sanaa
Hicho kiwanda kilikua kinalipa 7500/- mpaka 8000/- per day, hapo kuna mbongo kashafanya yake kuwakandamiza wabongo wenzie ili yeye ale cha juu 10% hicho kiwanda cha Wahindi nakifahamu mda mrefuSasa ni sh. 4000, kazi masaa 12 yaani lisaa limoja sh. Mia tatu na centi.
Zanzibar unaifaham? Mm Niko zanzibar mda huu.. unajua haya matatizo ni ya mfumo zaidi! Kuna ukiritimba mkubwa ngazi ya ufatiliaji wa haki za wafanyakazi.Tutafute namna ya kuwasaidia hawa watu wetu,sio kila mtu anaweza kuwa na hilo shamba,tuishinikize serikali isikubali watu wake wanyannyaswe kiasi hiki,hawa ni nduguzetu na hii ni nchiyao,mbona Zanziber hakuna upuuzi huu??? Day works sio chini ya 20,000.
Tatizo private investorsJf Moderator nyuzi kama hizi hatuoni mkizipost kwenye page zenu za social media tatizo ni nini?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kuna Mbwa anakula cha juu hapo sio huko tu Tanzania nzima cheap labours wanaonewa sana kwenye suala la malipowalinzi Zanzibar Kuna kampuni wanalipwa 160, nyingine 180 na Sheria inawataka wapokee 250