Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

Life linaweza kukupeleka sehemu ujategemea kabisa ndomaana mimi simjudge mtu kabisa sijui malaya,barmaid kuna kipind life lilibonda hadi nikaona wanaojiuza wako right.
Hii ndo kitu kinaitwa vaa uhusika... Ungekuwa wew ndo yeye ungefanyaje?. Mana hata uhalisia upo wa aina mbili Kuna wa kuona na WA kufanya. Anayeona anaona unakosea, anatakiwa yeye akae nafasi yako ili aone wapi uko sahihi
 
Ulinz una mshahara mdogo sana. Kampuni nyingi hazifiki 200. Ila ukipata LINDO lenye madili unakunja mpaka 2m monthly
True wengine ugeuza malindo kuwa guest.
Mungu anisamehee enzi za ujana kuna ofisi moja inatazama Serena hotel mitaa ya Ohio kuna ofisi sikuitendea haki kwa kuigeza gest.Image kwenye ngazi za kuingia ndani ofisini ndo kitanda.
 
Kea hiyo umaskin unasababishwa na Nini? Hapa nitajua nazungumza n maarifa ya aina gan
Unasababishwa na mambo mengi ila kubwa zaid ni kukosa akili ya kutafuta ela
Kuna akili ya kutafuta ela ambayo ni tofauti na ya darasani

Kigezo cha umepungukiwa akili ya kutafuta hela ni pale unapotumia nguvu kutafuta hela

Kuwa na hela sio ujanja bali ni akili ya ela ukiwa nayo huwezi tumia nguvu
 
Kazi za viwandani kama casual! Si kazi wakuu. Bora ununue shamba ukalime
Tutafute namna ya kuwasaidia hawa watu wetu,sio kila mtu anaweza kuwa na hilo shamba,tuishinikize serikali isikubali watu wake wanyannyaswe kiasi hiki,hawa ni nduguzetu na hii ni nchiyao,mbona Zanziber hakuna upuuzi huu??? Day works sio chini ya 20,000.
 
Unasababishwa na mambo mengi ila kubwa zaid ni kukosa akili ya kutafuta ela
Kuna akili ya kutafuta ela ambayo ni tofauti na ya darasani

Kigezo cha umepungukiwa akili ya kutafuta hela ni pale unapotumia nguvu kutafuta hela

Kuwa na hela sio ujanja bali ni akili ya ela ukiwa nayo huwezi tumia nguvu
Oke niahajua argument zako. Poa poa ✅
 
Mlinzi analipwa elf 4 kwa siku na bado anakopwa mwezi ili asikimbie kwa hofu atapoteza mshahara wake anaodai.
Ulipwa siku 40 badala ya mwisho wa Mwezi.
Pana jamaa alikuwa anakanyaga Toka airport dar Hadi kawe lindoni.
Chocho zote za shortcut anazijua
 
Mkuu hio upo dunia nzima, unaposikia Wazungu wanakimbilia china kwa ajiili ya cheap labor ndio kama hao, saizi wanatoka china wanaenda India kwa ajiili ya watu kana hao,
Unskilled labor dunia nzima mishahara yao ni mbuzi tu, mana wanakuwa hawana mikataba, day worker tu,

Kwa kusema hivyo tuhimizane ndugu zangu kusoma sanaa
Mkuu upo sahihi kabisa, nipo nchini Singapore [emoji1215] hapa sasa hivi wahindi wamejazana kila kona, bandarini stevedores wote ni wahindi, vibarua vya ujenzi, usafi ni wao tu.
Sijamuona mwafrika ni wao tu ndiyo wanatamba, ila uzuri wao wengine wasomi wanafanya kazi nzuri tu.
 
Wanalipwa elf 4 kwa siku lakini muhindi mchina akijipindua TU ashapigwa wabongo kwa upigaji hatari.
Pana Moja boksi zinashushwa au pakiwa muhindi anahesabu mara anaitwa au semeshwa TU akigeuka TU boksi tatu nne za chapu chapu zishampita Dili la dereva na wapakiaji.
Kwa elf 4 hio hio mtu aachi kazi mwaka wa kumi na anajenga.
Mswahili humuwezi
 
Tutafute namna ya kuwasaidia hawa watu wetu,sio kila mtu anaweza kuwa na hilo shamba,tuishinikize serikali isikubali watu wake wanyannyaswe kiasi hiki,hawa ni nduguzetu na hii ni nchiyao,mbona Zanziber hakuna upuuzi huu??? Day works sio chini ya 20,000.
Zanzibar unaifaham? Mm Niko zanzibar mda huu.. unajua haya matatizo ni ya mfumo zaidi! Kuna ukiritimba mkubwa ngazi ya ufatiliaji wa haki za wafanyakazi.

Hata hivyo casual labour wanatokea kwenye informal economy so tayari ni muted actors. Hawafikiki kirahis.. walinzi Zanzibar Kuna kampuni wanalipwa 160, nyingine 180 na Sheria inawataka wapokee 250
 
Back
Top Bottom