Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Sijaona timamu hata mmoja, CCM imetuletea balaaInasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa
Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona
Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
AiseeeeSijaona timamu hata mmoja, CCM imetuletea balaa
Daaah, wasouth walikuwa na haki kutimua wageniWengi wao walivamia kwa madiba kwa kufuata mkumbo wakiamini huko kuna maisha mazuri bila kuwa na mpango mkakati, hali waliyokutana nayo ikawa kinyume na matarajio yao
Hawa mateja na vichaa wanatishia ajira ya nani?Aiseeee
Hao mbali na kuwa hata Kazi au mishe walikuwa hawana pia hata makazi ilikuwa ni shida kiufupi walikuwa watu wa kuhurumiaDaaah, wasouth walikuwa na haki kutimua wageni
Wanaondoka hivyo hivyo, Asilimia kubwa ya Watanzania Ambao wapo South ni wavuta bangi na mateja. Ni watu Ambao tunaishi nao mitaani tunawajua na tumewaona wakiondoka, hasa hasa vijana wa kwetu huku Tanga.Inasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa
Nimekuwa S.Africa mara kadhaa sijawahi kujua kama wako watanzania wenzangu waliopigika namna ile , nadhani pia hawakuwa na shughuli rasmi ndio maana haikuwa rahisi kuwaona
Yaani kama Wabongo wanaoishi ugenini wako kama hawa walioletwa basi bila shaka hii nchi inapaswa kuombewa dua
Unataka kusema CHADEMA wamepata nguvukazi?Siku maandamano yakitokea hawa ndiyo watakuwa moto sana maana hawana cha kupoteza serikali ijishike
Nimekudharau sanaUnataka kusema CHADEMA wamepata nguvukazi?
hao wanarudishwaga mara kwanza
wakirudi tena wakikamatwa wanapigwa sindano za uchizi kila muda unavozidi kwenda mbele wanazidi kudata
kiufupi hao ni wakorofi wengi ni watoto wa stombagi mbagala
Kama inaongeza thamani ya maisha yako ni vema ukaongeza kunidharau.Nimekudharau sana
Wewe ni mjingaKama inaongeza thamani ya maisha yako ni vema ukaongeza kunidharau.
Nganga imeharibu vijana lakini pia wasanii wengi walipotezwa na kupoteza vijana wakibongo kama akina Albert Mangwea ..japo waliofanya izo mishe zamani walitoka na wakawa maaluwatani kabisa South ile miaka ya mbele hadi sasa wengi waligeuka kuwa matejaInasikitisha sana! Yaani ni kama wamekuja kuzikwa, wamekwisha kabisa