Yanayojiri Bunge la Katiba Dodoma leo 06/03/2014

Waleta mada wengine, hawafai hata kuandika udaku. Tiririka ili tuelewe.
 
Wadau hii thread ni maalum kwa ajili ya updates za bunge la jioni tar 6.3.14!

Plz mods msiunganishe na thread zingine!

Daaaah mods bhana!??????????!!!!!!!!! pasua kichwa sana! haya bhana nyie ndio mlioshika Mpini mm nimeshika makali! kila la kheri!
 
mh . mwandosya ameongea mambo ya msingi tena kwa umakini mkubwa ,I think he is Serious .
 
Ni maneno ya Prof huyu, ameyatoa ndani ya bunge sasa akiasa juu ya vurugu zilizotokea leo bungeni.

Ni maneno makini yenye ustarabu, yaliozamilia kutoaa wingu la kutokuelewana kwa wajumbe

Asante Prof Mwandosya.

argue dont shout!
 
Kweli siyo vema kuropoka ni vema kujenga hoja tena zenye mashiko hasa kuliko watu wazima wanaropoka bila hata hoja zozote.
 
Joseph selasini kapendekeza. Inaonekana inaelekea kukubaliwa bungeni!
 

Asante kiongozi kwa kutujuza. vp kuhusu matusi? hakukuwa na kushkana mashati? sasa hv nafuatilia pia.
 
Mwenyekiti wa kamati aulizwa asema amemaliza kuelezea kuhusu vifungu. mnyika anaongea sasa na kupendekeza makamu wenyeviti waingie ktk kamati ya uongozi
 
Viongozi wa kiroho kwa pande zote watapewa nafasi siku ya kesho ,kwa ajili ya maombi maalumu ya kuliombea bunge maalumu la katiba.
 
hii ndo nchi yetu 2nayoiona mungu wabariki wote:help::yuck:
 
Zitto anashauri nini kifanyike sasa?ama inatosha tu kuwaita waliomo wapuuzi ambao ndio wanamwandalia kanuni yeye asiye mpuuzi aje kuzitumia?!!Huu si ustaarabu(us.he.nzi) kwa mtu kama yeye

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

ndio anataka apewe uenyekiyi wa chama kwa uwezo huu wa kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…