CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,357
- 6,424
Kwa hiyo unataka wabunge wavae kama wako sokoni? WAVAE SMATI!
Ili iweje wakisha vaa smart?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unataka wabunge wavae kama wako sokoni? WAVAE SMATI!
Ili iweje wakisha vaa smart?
Baadhi ya wachangiaji wametaka kabla ya bunge hilo kuanza na kumaliza basi iwe kwa dua ili wale wenye mashetani akina Olesendeka mashetani hayo yaweze kuondoka vichwani mwao., waislam wakiristo wataomba kwa dini zao. TBc Live
I doubt if smartness has a link with mental powers to think.Huenda muonekano ukawabadili wakawa na hekima kidogo maana walivyo Sasa wanatia mpaka kinyaa kuwasikiliza
Halfu huwa nashangaa sana anavyotikisa ------..na kihere here kujipitisha mbele za watu.Niliwahi muona simanjiro, Clock tower Arush na mlimani City dar...huyu jamaa ana kiherehere sana..km mtoto au chakula fulaniOle Sendeka atandikwe mangumi hata nje ya bunge ili awe na adabu.
Ni yupi huyo?...hilo bunge litakosaje mapepo/mashetani wakati humo ndani kuna hadi mwakilishi wa wachawi!?...
Leo mtoto hatumwi dukani.Leo, asiye na mwana aeleke jiwe.Leo,ukigeuka nyuma unakuwa jiwe la chumvi.Leo,macho mbele kama tochi. Leo,masikio na macho ni marafiki muhimu. Leo, kila kitu kina watu;wale wastaarabu na fyatu.Usisubiri kusimuliwa.Jionee au sikiliza mwenyewe leo.
Kwa nyaraka zilizopo,shughuli hiyo itakuwa jioni.Leo,Bunge la Katiba linafikia vifungu vya 37,38 na 39 vya Rasimu ya Kanuni za Bunge hilo ili kuvipitisha.Vifungu tajwa,pamoja na mambo mengine, vinazungumzia namna ya upigaji kura wa kupitisha Rasimu ya Katiba utakavyokuwa ndani ya Bunge hilo.Wapo wa KURA YA SIRI na KURA YA WAZI/DHAHIRI. Leo watajulikana vyema.
Lazima leo Bunge liamue kupitisha au kuviondosha vipengele hivyo vya Kanuni. Ni leo.Si kesho. Lakini, kupitisha SIRI au DHAHIRI kutafanywa kwa SIRI au DHAHIRI? Mwenyekiti wa muda ataongozwa na Kanuni au Taratibu zipi leo kuamua kuendesha kura za SIRI au DHAHIRI wakati itakapojitokeza haja ya kufanya hivyo? Leo kitaeleweka tu.Zege halilali!
Mzee Tupatupa wa Lumumba (sasa Dodoma)
--------------
Uko sahihi kwa alichokifanya Ole Sendeka hakikupaswa kufanyika, na ametia aibu wabara wote. nadhani angesema vile wa CDM wangesema ni watu wa fujo. Hivi wakiahirisha kikao wanalipwa posho nusu? maana wanaahirisha ahirisha tu.
ukiona dume linanata ujue lina asili ya usengeri na uchoko.We mpambe wake bila shaka ni wale wale tu.Acha wivu arifu, wewe unashindwa nn kujisikia