firstcollina
JF-Expert Member
- Aug 8, 2009
- 349
- 23
Nakusudia kuna wajumbe wabunge mabomu ,hawana uchangiaji wowote ,wapo hapo kama furniture za ukumbi ,wakingojea kuburuzwa tu na waccm ,wanafurahia posho ile mbaya utawasikia wakigonga meza na wengine kupiga vigelegele kama wameelewa kwa kina kumbe hamna kitu,wengi wa wabunge hawa wamepitishwa au tuseme wamepelekwa kubackup hoja za CCM na huku ni kwa waTanzania kutungiwa katiba ileile yenye utashi wa chama kimoja.
Nitaweza mkuu wala usihofu japo kunawatu huwa wanapenda kunichokoza lakini uzalendo bila ushabiki nauweza sana mkuu.Hapo pa bila ushabiki utapaweza kweli wewe?
Bunge bado halijaanza hadi muda huu. Mtakumbuka kuwa kwa siku ya leo kikao kinaisha saa 6 kamili mchana. Hii ni kusema kuwa wajumbe watakaa ukumbini humu kwa muda wa saa moja tu
Kati ya wewe na Chabruma nani ambaye anatupa habari za ukweli? Wewe unasema mnasubiri mwenyekiti aingie bungeni, wakati mwenzi anasema mwenyekiti aliingia saa 3 na dakika 50!!! Naanza kuwa na mashaka na uwepo wenu bungeni.Mpaka sasa tunamsubiri mwenyekiti aingie ukumbini ili kikao kianze.
Ila ushabiki wenu wa kipuuzi muache kama mmeamua kuripoti kwa ajili ya wote iwe hivyo, sawa?