Wakuuu msijeshangaa hapo Mwanamama Pekee Dr Tereza Hovisa akachaguliwa kwa wingi wa kura na hao jamaa wa CCM, si mnajua SITA alivyowashughulikia huko nyuma????
Sita amesema kuwa wenye nia ya kuvunja muugano atawashughulikia. Hii inaweza kumaanisha kuwa kalishwa yamini na wana ccm kuhusu serikali mbili
Kauli yake imenichefua sana. Yeye ni nani kama utashi wa wananchi ni kuvunja muungano? Stupid sita.
Kwa kweli hii kauli ni tata na mbaya...endapo mtu kama mtikila akipata shida yoyote bungeni....ataonekana ameshughulikiwa....
Hii ni kauli kali sana ambayo nimeisikia. Inawezekana kaapishwa na wana ccm kuwahughulikia wanaodai serikali 3. Inawezekana huo ndio mtazamo wake ili kupata kura zao. Nahofia ...
huyu pimbi tu nani kasema hataki muungano,sisi tunahitaji Tanganyika kama wenzetu
Maadamu Hovisa hajarudisha fomu basi SITA anapita, japokuwa sina imani naye, maana hakawii kujigeuza rangi yake na kufanana na rangi za wenzie, Kumbukeni ndege wafananao huruka pamoja!!!!
Binafsi nimependa msimamo wa huyu mzee.
Kauli yake imenichefua sana. Yeye ni nani kama utashi wa wananchi ni kuvunja muungano? Stupid sita.
una laana hadi uzao wako
Tanganyika unaijua wewe? umezaliwa lini?
Hivi Nawe unaamini kua mtu mmoja anapaswa kuwadhibit watu wengi kufuata maoni yake?
Basi zile kura za maamuzi kama za wananchi wa Cremia zisingekuepo duniani.
tragedy of the commons
Kakoswa na BUSARA katika hilo, kwani kasahau yalompata kule Unguja zama alipopeleka kijikaratasi uchwara kake...?
Aache dharau zake, akitaka dharau kazi itamshinda, mbwembwe zake aziweke kushoto.
Kwanini hakunifunza BUSARA toka kwa Mzee Pandu Ameir Kificho...?!