Hapo ndipo utakapojua kuwa mtu anayejiamni hapaswi kuogopa kupiga kura ya WAzi, SITTA amekuwa muazi bila kujali atapoteza kura au la. Na huo ndiyo msimamo unaotakiwa siyo woga woga usiyo na maana
Rungwe nahisi atapata kura 20 tu
Kwa maoni yangu mzee six kaongea hivyo ili hata baadhi ya wajumbe kutoka CCM wanaompinga wampe kujihakikishia nafasi ya uspika. Lakini six anafaaa kuliongoza hili bunge.Uko Sahihi kabisa Sitta is just another stupid man. Angalia alipokuwa spika ndo mtu wa kwanza kupandisha allowance za wabunge kwa kudai kwamba mbunge hastahili kuishi kwa shida. aliachiwa na leo hii ndo hayo! Leo tena amedokeza dalili kwamba mwishoni lazima kuwe na kiinua mgongo kwa wabunge.
Kwa tabia hiyo, huyu ndo anapendwa na hilo group la wabunge washangiliaji.
hata miye naona!
Kwa msimamo aliouonyesha mapema namna hii hakika natabiri atapata shida sana huko mbeleni....na hili bunge litavunjikia mikononi mwake. Kulikuwa hakuna haja ya kuropoka mambo ya muungano kwa sasa.
Wabunge wanaendelea kupiga kura. Mtikila naye amepiga ila sina hakika kama amepiga kisawasawa. Tutasikia idadi ya kura zilizoharibika na yeye atakuwa miongoni mwa walioharibu kura hizo. Ni mawaao yangu tu wadau
Wabunge wanaendelea kupiga kura. Mtikila naye amepiga ila sina hakika kama amepiga kisawasawa. Tutasikia idadi ya kura zilizoharibika na yeye atakuwa miongoni mwa walioharibu kura hizo. Ni mawaao yangu tu wadau
Hapo ndipo utakapojua kuwa mtu anayejiamni hapaswi kuogopa kupiga kura ya WAzi, SITTA amekuwa muazi bila kujali atapoteza kura au la. Na huo ndiyo msimamo unaotakiwa siyo woga woga usiyo na maana
Jamaa ni mtoto wa mjini mno angatulia angapata kura nyingi ila jinsi alivyo hata wale waliompinga Sitta wanaweza kuharibu kura hizo50 anavuka
Hapo ndipo utakapojua kuwa mtu anayejiamni hapaswi kuogopa kupiga kura ya WAzi, SITTA amekuwa muazi bila kujali atapoteza kura au la. Na huo ndiyo msimamo unaotakiwa siyo woga woga usiyo na maana
Sita katetea uwepo wa Muungano, wa aina gani ndo jambo la msingi.