Katibu ametaja majina ya waliochukua fomu ambao ni Rungwe, Sitta, Theresia Huvisa na John Chipaka. Hata hivyo amesema kuwa wagombea waliotimiza vigezo ni Hashim Rungwe na John Sitta. Anasema wagombea hawa wawili watajieleza mbele ya wabunge, wataulizwa maswali na hatimaye kupigiwa kura ya siri