Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Mkuu, hadi kuwa wakala wa uchaguzi lazima uwe na CV? Yatosha tu kusema kuwa ni Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Nadhani MTIKILA hakustahili kwenda BUNGENI, ana mambo ya kijiweni sana yeye na RUNGWE.
Sorry wakuu nimechelewa katika shughuli za kujipatia riziki. Kura imepigwa ya wazi au siri?
Hivi rungwe aligombea ki kweli kweli au alikuwa anatania tu!
okay kumbe haijapigwa kura ya wazi?Mbona hawakupiga kura ya wazi kama wale jamaa walivyokuwa wanaongea udenda unawatoka? masisiemu mtakufa safari hii
Bahati Ally Abeid ?????? CV yake please
Bahati Ally Abeid ?????? CV yake please
Unatoa msimamo katika wakati muafaka na eneo husika (at a right time and space) pale unaomba kuwa judge wa watu wenye hisia na mawazo tofauti, katika hatua za mwanzo tu unaonyesha uko upande wa X na wale wa upande Y si wako!
Siri kubwa tu.....