Mjasiria Akili
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 823
- 372
Wabunge wengi wa CCM wamechangia kwa hoja.
pWarudishe posho walizochukua
Pengo ameshaweka bayana kuwa wakristo wanaunga mkono serikali mbili. Wewe ni mkristo gani unayeendekeza makwinyanzi?
Wehu wenzio wametoka nje ya bunge wewe mwehu mwenzao unafanya nn humu jukwaani?
Video kibao za alipumba akifanya kampeni misikitini zimesambaaLipumba hajalalama kaja na ushahidi wa gazet la mwananchi kuhusu lukuv....km na wewe unafaham kuwa alienda kufanya kampen misikitin tupe ushahd mkuu...
Wameishiwa hoja watasema nini tena wakati matusi wametukana yameisha,kejeli wamefanya zimeisha,sasa watasema nini tena wameona bora watambae.
Kuondoka c suluhisho unaonekana unakimbia majukumu
Kwani wewe bado upo humu?Nakupuuza kama wapuuzii wenzako.
Majority rule and minority right watu sijui kama wanajua
Fedha zote za walala hoi zilizotumika wala hazionewi huruma
Mimi naunga mkono uamuzi wa UKAWA (Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi) kuwaacha CCM watunge katiba yao ya vitisho, na ubaguzi.
Mimi naunga mkono uamuzi wa UKAWA (Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi) kuwaacha CCM watunge katiba yao ya vitisho, na ubaguzi.
Kwani wewe ulitaka waambiwe nini? Serikali mbili ndo habari ya mujini na vijijiniSerukamba na Mwigulu kwenye michango yao wamesema mtake msitake mtakutana na serikali 2
Kwa nini iliundwa tume ya Warioba? Kwa nini Rais aliacha mpaka rasimu ya 2 ndio anakuja kusema jeshi litatawala?