Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Tatizo mjadala ulikuwa uwe wa siku 3 na maauzi yafanyike kwa kura cha ajabu mwenyekiti alitoa angalizo kabla ya kuahirisha watengue kanuni waendelee na mjadala ina maana vifungu hivi vingeendelea kujadiliwa bika kufikia mwisho bila sbb za msingi ukawa wameshtukia hilo
 
Wabunge wengi wa CCM wamechangia kwa hoja.

Kwenda kule gamba wewe unaweza kuniambia hapa kuwa ni mbunge gani wa ccm kachangia kwa hoja Ni mbunge yupi wa ccm alietuambia iliko Tanganyika yupi aliyetoa hoja zenye mashiko za kile kilichosababisha kuifukia Tanganyika ba kuiacha Zanzibar ikipumua yupi hapa aliyetoa ushahidi wa balaza la wawakilishi likirdhia MUUNGANO mmebaki kukariri tu hamna hoja mnatia hasira mpaka wapinzani wameamua kuwaachia bunge mjadiri kadiri mnavyojisikia mbulula nyie.

BACK TANGANYIKA
 
Hakuna majibu yaliyotolewa kwa watu wenye akili timamu, upeo wakufikri juu ya kumaliza kero kuptia selikali mbili katika katiba ijayo sasa ccm mnaimba taarabu bungeni baada ya kutoa strong argument
 
mi nimezima tivii sababu mimejiona mjinga kuendelea kuwasikiliza majambazi wa nchi hii
 
Lipumba hajalalama kaja na ushahidi wa gazet la mwananchi kuhusu lukuv....km na wewe unafaham kuwa alienda kufanya kampen misikitin tupe ushahd mkuu...
Video kibao za alipumba akifanya kampeni misikitini zimesambaa
 
Wameishiwa hoja watasema nini tena wakati matusi wametukana yameisha,kejeli wamefanya zimeisha,sasa watasema nini tena wameona bora watambae.

Na hati ya muungano imepatikana kwa kweli hawana jipya
 
Kuondoka c suluhisho unaonekana unakimbia majukumu

Serukamba na Mwigulu kwenye michango yao wamesema mtake msitake mtakutana na serikali 2

Kwa nini iliundwa tume ya Warioba? Kwa nini Rais aliacha mpaka rasimu ya 2 ndio anakuja kusema jeshi litatawala?
 
KATUNI.jpg
===>Hii ndio hali ilivyo huku kwetu mtaani.
 
Majority rule and minority right watu sijui kama wanajua
Fedha zote za walala hoi zilizotumika wala hazionewi huruma

Unajua tume ya warioba ilitumia pesa kiasi gani kutaafuta maoni ya wananchi alafu leo wamakuja wapuuzi wachache wanampinga mzee wa watu wakati alichowakilisha ni maoni ya wananchi na sio yake binafsi?
 
Mimi naunga mkono uamuzi wa UKAWA (Umoja wa Kutetea Katiba ya Wananchi) kuwaacha CCM watunge katiba yao ya vitisho, na ubaguzi.

hiv wametoka moja kwa moja kurudi makwao au wametoka mara moja tu kesho wanarejea mjengoni?
 
Sasa wanaobaki wajadili kwa busara ili tupate katiba bora........
 
Serukamba na Mwigulu kwenye michango yao wamesema mtake msitake mtakutana na serikali 2

Kwa nini iliundwa tume ya Warioba? Kwa nini Rais aliacha mpaka rasimu ya 2 ndio anakuja kusema jeshi litatawala?
Kwani wewe ulitaka waambiwe nini? Serikali mbili ndo habari ya mujini na vijijini
 
Jambo kubwa ni kuwa huu mzigo utawekwa chini. Kila leo watanzania bara wanalalamika wame wabeba wazenji kwa hivo wazenji watashughulkikia nchi yao na watanganyika yao hakuna kusumbuana.
 
Wana jef napenda nichukue nafasi hii kuwaaga, kwani vichwa vya maana vimeshaondoka na kuendelea kuwasikiliza intarahamwe ni kujizalilisha.
 
Back
Top Bottom