Mtakumbuka ktk kosa alilofanya rais wa nch ni kuteua wawakilishi wa BAKWATA, TEC na CCT na kuwasahau Wapentekoste na hata skofu wao alipohoji ikulu iliwapuuza.Mbaya zaidi rais aliteua muwakilishi wa waganga wa kienyeji na kupuuza watumishi wa MUNGU. alf kila bunge la katiba linapoanza tunaanza na dua/sala ya kumuomba MUNGU atusaidie wkt hapo bungeni kuna muwakilishi wa waamini uchawi Hii ni dhihaka kwa MUNGU, na hasira ya MUNGU ITAKUWA JUU YA BUNGE HILO,NI LAANA KUWEKA MUWAKILISHI WA WACHAWI NA KUWAKATA WAWAKILISHI WA MUNGU...