Benard Membe anasema;
Huu ni muungano wa pekee na wapili duniani ulio dumu ukifuatia ule wa kanada. Tunaweza kuunda muungano wa nchi hizi mbili lakini serikali ya tanganyika itaua serikali ya muungano na shahidi atakua serikali ya zanzibar. Tume ya walioba italaumiwa kwa kuapnga mauaji hayo. Utatu utaua. naungana na ccm kwamba jibu pekee ni serikali mbili. 1988-1990 huundo ulikua ubishi Urusi.
kwanini tusijifunze kwa Urusi iliyokufa baada ya mwaka mmoja?. nawauliza mpo tayari mkubali zanzibar na tanganyika msikusanye kodi kodi ikusanywe na jamhuri? {wabunge wameitikia ndio}
Serikali gani duniani inayo endeshwa bila kodi? mifano nliyo itoa ya urusi spain na ugerman inatosha. tukiunda serikali tatu itaua muungano.
Hakuannchi duniani ambayo inatukana wasisi wake. Na bunge litakua wa mwisho kuwatukana wasisi. tunatatizo la kujifanya wajuaji. Hakuna mtu mwenye akili timqamu atakaye enda mbele ya hadhara na kuwakejeri. hati ya muungano nimeiona na nihalali na ndioy mtakayo iona hapa. haikuchakachuliwa.