Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Benard Membe anasema;
Huu ni muungano wa pekee na wapili duniani ulio dumu ukifuatia ule wa kanada. Tunaweza kuunda muungano wa nchi hizi mbili lakini serikali ya tanganyika itaua serikali ya muungano na shahidi atakua serikali ya zanzibar. Tume ya walioba italaumiwa kwa kuapnga mauaji hayo. Utatu utaua. naungana na ccm kwamba jibu pekee ni serikali mbili. 1988-1990 huundo ulikua ubishi Urusi.

kwanini tusijifunze kwa Urusi iliyokufa baada ya mwaka mmoja?. nawauliza mpo tayari mkubali zanzibar na tanganyika msikusanye kodi kodi ikusanywe na jamhuri? {wabunge wameitikia ndio}

Serikali gani duniani inayo endeshwa bila kodi? mifano nliyo itoa ya urusi spain na ugerman inatosha. tukiunda serikali tatu itaua muungano.

Hakuannchi duniani ambayo inatukana wasisi wake. Na bunge litakua wa mwisho kuwatukana wasisi. tunatatizo la kujifanya wajuaji. Hakuna mtu mwenye akili timqamu atakaye enda mbele ya hadhara na kuwakejeri. hati ya muungano nimeiona na nihalali na ndioy mtakayo iona hapa. haikuchakachuliwa.
 
Membe anazidisha mda,afu anajichanganya kabisa,anaonesha utovu wa nidhamu wa hali ya juu
 
Membe anaanza tena kutoa vitisho juu ya kuhoji mapungufu na makosa yaliyofanywa na na waasisi wa taifa hili bwana nyerere nd mwenzake karume.
 
Lisu anastahili kupewa muda zaidi kawafungua macho weengi hata kificho nimeona anaanza kusoma katiba ya zanzibar...Asante sana Lissu.
Mkuu Lisu limemuona akirudia mipasho yake ileile hana jipya kabisa kwenye michango yake.
 
Hembu nimsikilize membe kichwa huyu sijui tundu hajaeleweka ameharisha tu hapa

hata utukane ukweli katiba imevunjwa ambayo kikwete na membe waliapa kuilinda na kuhifadhi imevunjwa na wametoa macho tu
 
Mwenyekiti kavunja kanuni kwa kumzidishia Membe dakika 1 na sekunde 49.
 
Wasira alikimbia ccm kwenda nccr na akarudi ccm baada xta nyerere kufa.
 
Hamad Rashid Mohamed: kwa nini tunakuwa waoga .. naiunga mkono rasimu na haiko kamilifu
 
Hoja alizotoa membe ni miongoni mwa hoja muhimu sana kwenye hili bunge maalumu.
 
Hiyo clip ya mchango wa Lissu tukiipata hapa nitaishukuru sana JF


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Back
Top Bottom