Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Zenji nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona mitandaoni suala la katiba mnafanya vizuri nyie wala viroba ila nina uhakika yatawapata ya kalenga na chalinze.Maskini! mpaka nawaonea huruma wajumbe wanaotetea serkali mbili. Niwepesi mno kwa hoja! Wananyanyaswa na wenzao wa serkali tatu kwa hoja nzito na rejeo (references) zilizoshiba!
Bi Asha Bakari Mtama, yeye akaishia kumjadili Ismail Jussa, na vitisho vya mapinduzi...maskini! Watu wanajadili serkali tatu, yeye anawaambia CUF hamuipati serkali SMZ tumepindua! Kumbe hofu ya CCM wa Zanzibar ni zikija serkali tatu wanaona CUF watachukuwa serkali?! Geni hili kwangu mie!
Ushauri: Maalim Seif waahidi hao CCM wa Zanzibar kwamba, kama wakikubali muungano wamkataba au japo serkali 3, wewe na CUF yako hamugombei tena Zanzibar....Hahaha! Angalau nasie tunonoooke...huu muungano untunamia vibaya
naona mitandaoni suala la katiba mnafanya vizuri nyie wala viroba ila nina uhakika yatawapata ya kalenga na chalinze.
naona mitandaoni suala la katiba mnafanya vizuri nyie wala viroba ila nina uhakika yatawapata ya kalenga na chalinze.
Serikali 2 wote hawana hoja. Leo tena Lissu kawachana chana hadi huruma..
naona mitandaoni suala la katiba mnafanya vizuri nyie wala viroba ila nina uhakika yatawapata ya kalenga na chalinze.
mmoja wao ni Wasira Stephan.Msaada: Ni akina nani kama alivyosema Lissu walisubiri Mwl. Nyerere afariki ndio wakarudi ccm?
serikali 2 ni kuendeleza ukoloni wa tanganyika dhidi ya zanzibar! Ni heri kugawana mbao kuliko kuendelea kutawala kisiwa cha zanzibar!Mpaka sasa, hoja ya serikali1 ndio bora zaidi inayofuata ni Serikali2 hii ya Serikari3 ni kelele tu, hakuna hata mmoja aliyetoa point inayoshawishi hadi hivi sasa sana sana wengi wanashabikia kwa vile ni sera ya vyama vyao.