Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Heko UKAWA. Huo ni uamuzi makini.

Waacheni hawa mashetani na masokwe ya lumumba yaendeleze uongo na fitna.

Hivi UKAWA walitarajia kukubalika kila kitu.ndio mjadala unaanza wao wanakimbia maoni ya wengine.si busara kabisa kukimbia bunge kwa sababu hoja zako hazikubaliki.baki ndani uendelee kujenga hoja kisayansi.pia endapo unasusia kazi rudisha fedha na nyaraka zote ulizochukua wateuliwe wengine hasa kundi la 201
 
Una hakika gani kama hiyo ya chini ni halisi?

25ikulu.jpg

HATI IMECHAKAAA KIASI HIKI ETI ILIKUWA SEHEMU SALAMA. WHAT A SHAME!
 
Tatizo la ccm ni kuamini kuwa wao ni kila kitu ndani ya Tanzania. Katiba sio ya chama bali ya watanzania wote! Ccm wanalipeleka taifa letu kubaya na kitendo cha kulazimisha maoni ya ccm ndio yawe ya katiba mpya ni kitendo kisichovumilika hata kidogo!
 
jamani tuambieni yanayojiri bungeni ! nasikia UKAWA wameondoka bungeni na baadhi ya wabunge wa ccm.
 
unapaswa kuombewa wewe ni pepo linakufata.
kwani kuna binadamu hawakuumbwa na Mungu?
muulize babu yako alikuwa anatibiwa wapi kabla ya hosptali kuletwa?
hoja yako haina mashiko
 
Baada ya habari za kutoka nje kwa UKAWA huko DODOMA kuanza kuenea kama moto wa Nyasi kavu huko Zanzibar ,wananchi wameanza kuandaa mapokezi ya ari na nguvu ikiwa UKAWA hawatorudi tena bungeni ,aidha habari zilizozagaa ni kuwa wabunge hao watasubiriwa kwa hamu na kupokewa kwa maandamano ambayo wanasema hayajawahi kutokea Zanzibar ,hizo ndio habari za matayarisho punde tu ikijulikana wanarejea visiwani humo wakiwa wameonyesha ari na nia zao za kuitetea Zanzibar bila ya kumuonea haya mtu au kumuogopa mtu.Maneno na maandishi ni Zanzibar kwanza Tanzania baadae.

Je WaTanganyika watabaki wameshika tama na kusubiria wanayoyataka vigogo wa CCM ? Zanzibar kwanza.
 
Jamii eee tuwaacheni Zanzibar wapumueeeeeee
 
Mimi nawaonea huruma hawa waliofuata msimamo wa chama na kuuita msimamo wa kundi la wengi, huku wakiwa ni wachache kuliko wale waliotoa maoni katika TUME ya Jaji Warioba. Hili litakuwa fundisho zuri kwa watawala wetu, kwani wamesahau ya kuwa wao walichaguliwa na wananchi, hivyo wanavyopuuza matakwa ya wananchi waliowachagua basi wanapoteza uhalali wa kuwa viongozi.
 
Yes..Zanzibar inazidi kukombolewa...Zanzibar huru daima..tanganyika huru daima...
 
kakobe alishatabiri ayo kwenye waraka kwa rais, tusubiri labda ndio mvua za manyunyu zimeshaanza. ninachoomba tu nchi ibaki na amani. kama vyama kufa na vife tu chama chochote kikafie mbali huko iwe chadema, ccm,cuf etc, ila amani ya nchi namwomba Mungu ibaki.
 
Back
Top Bottom