Ha Ha Haaahhhh, Interahamweeeeee Naona Wamebaki Bungeni Kuendeleza Sera Yao Ya Serikali Mbili Bila Hoja Za Msingi. Its So Funny With This Bongo Politics !!!!
By The Way Tangu Bunge Limeanza Na Huu Mjadala Wa Ibara Ya Kwanza Na Ya Sita, Kinachofanyika Ni Kurudia Hoja Zile Zile Za Uoga Wa Kuvunjika Kwa Muungano, Uongo Wa Gharama Halisi Za Kuendesha Serikali Tatu, Matusi Kwa Jaji Warioba Na Tume Yake, Sera Za Kibaguzi Zaidi Zikiwahusu Wapemba Na Kuattack Personality Za Watu Badala Ya Kujenga Hoja.
Kwa Hali Inavyoendelea Inaonesha Dhahiri Shairi Kuwa Waumini Wa Serikali Mbili Wengi Wanafuata Mkumbo Ndio Maana Katika Kumi Wanaosimama Tisa Watarudia Kile Kile Na Zaidi Wataongeza Ubaguzi Na Matusi Mapya Kitu Ambacho Hakitatupeleka Katika Kupata Katiba Nzuri Ya Wananchi.
Mm Binafsi Mtazamo Wangu Ni Muundo Wa Muungano Wenye Serikali Ya Muungano Ikiongozwa Na Raisi Wa Muungano Huku Nchi Shiriki Kila Moja Ikiongozwa Na Waziri Mkuu Wake Atakeyeshughulika Na Masuala Yote Yasiyo Ya Muungano Nchini Mwake.