Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano, Trh 16 Aprili 2014 - Majadiliano ya bunge zima sura ya 1 & 6

Ha Ha Haaahhhh, Interahamweeeeee Naona Wamebaki Bungeni Kuendeleza Sera Yao Ya Serikali Mbili Bila Hoja Za Msingi. Its So Funny With This Bongo Politics !!!!

By The Way Tangu Bunge Limeanza Na Huu Mjadala Wa Ibara Ya Kwanza Na Ya Sita, Kinachofanyika Ni Kurudia Hoja Zile Zile Za Uoga Wa Kuvunjika Kwa Muungano, Uongo Wa Gharama Halisi Za Kuendesha Serikali Tatu, Matusi Kwa Jaji Warioba Na Tume Yake, Sera Za Kibaguzi Zaidi Zikiwahusu Wapemba Na Kuattack Personality Za Watu Badala Ya Kujenga Hoja.

Kwa Hali Inavyoendelea Inaonesha Dhahiri Shairi Kuwa Waumini Wa Serikali Mbili Wengi Wanafuata Mkumbo Ndio Maana Katika Kumi Wanaosimama Tisa Watarudia Kile Kile Na Zaidi Wataongeza Ubaguzi Na Matusi Mapya Kitu Ambacho Hakitatupeleka Katika Kupata Katiba Nzuri Ya Wananchi.

Mm Binafsi Mtazamo Wangu Ni Muundo Wa Muungano Wenye Serikali Ya Muungano Ikiongozwa Na Raisi Wa Muungano Huku Nchi Shiriki Kila Moja Ikiongozwa Na Waziri Mkuu Wake Atakeyeshughulika Na Masuala Yote Yasiyo Ya Muungano Nchini Mwake.
 
kuna mjumbe anatokea group la 201 zanzibar, anaunga mkono kuwa suala la uwazi, na uwajibikaji lisiwe tunu ya taifa

naona tutaibiwa sana milele yoote, sasa hivi ukipata chance wewe kula tu hata ukistukiwa usijiudhuru komaa tu, hakuna shida.
Mkuu kwani hiyo katiba unayozunguzia imeshapita?
 
Naungana nawe mwenyedata atujuze wakuu!
Hawa malpyoto wasakatonge na wachumia tummbo .
 
naunga mkono hoja maana hata jana nlivo kaa chini nakutafakar kama wanaojiita walio weng ndo wenye kauli kwa kila jambo bungeni wakijiita wanawanachama ni dhair kwamba madudu ni yale yale yalopita na yatakayokuwepo nlijarbu kuwa na maombi yanayofanana na kuomba kusingekua na bunge bali rasimubingeletwa baada ya tume tukakaa mabaraza ya wanchi nakuchambua nakuipitisha gharama ya bilion 7 zisingekuwepo pia tungeamua mabo yetu pasipo mwenyekiti wa ccm kuingilia muundo mzima ya maoni ya wabunge ambao wako kutengeneza katiba ya ccm kama zilizopita na ni zaki dictecta kwani maoni ya wananch yana kiukwa na kuweka sera za chama kama alivowaaili makamba na kauli yake ya jana ..
 
===>Muda wa kusikiliza TBC umeisha maana wenye akili wameshaondoka,Tunasubiri World Cup basi.
 
Ha Ha Haaahhhh, Interahamweeeeee Naona Wamebaki Bungeni Kuendeleza Sera Yao Ya Serikali Mbili Bila Hoja Za Msingi. Its So Funny With This Bongo Politics !!!!

By The Way Tangu Bunge Limeanza Na Huu Mjadala Wa Ibara Ya Kwanza Na Ya Sita, Kinachofanyika Ni Kurudia Hoja Zile Zile Za Uoga Wa Kuvunjika Kwa Muungano, Uongo Wa Gharama Halisi Za Kuendesha Serikali Tatu, Matusi Kwa Jaji Warioba Na Tume Yake, Sera Za Kibaguzi Zaidi Zikiwahusu Wapemba Na Kuattack Personality Za Watu Badala Ya Kujenga Hoja.

Kwa Hali Inavyoendelea Inaonesha Dhahiri Shairi Kuwa Waumini Wa Serikali Mbili Wengi Wanafuata Mkumbo Ndio Maana Katika Kumi Wanaosimama Tisa Watarudia Kile Kile Na Zaidi Wataongeza Ubaguzi Na Matusi Mapya Kitu Ambacho Hakitatupeleka Katika Kupata Katiba Nzuri Ya Wananchi.

Mm Binafsi Mtazamo Wangu Ni Muundo Wa Muungano Wenye Serikali Ya Muungano Ikiongozwa Na Raisi Wa Muungano Huku Nchi Shiriki Kila Moja Ikiongozwa Na Waziri Mkuu Wake Atakeyeshughulika Na Masuala Yote Yasiyo Ya Muungano Nchini Mwake.
Mkuu mawazo yako ni kama hawa jamaa.
 
mkuu kwani hiyo katiba unayozunguzia imeshapita?

mkuu huhitaji kuwa kama prof maji marefu kulijua hilo ulilouliza.... Hari iko dhahiri shairi.. Kwasababu hata tangu mwanzo wakina werema na kombani walikataa kuunda tume ya katiba mpya
 
Ukifika muda wa kupata katiba mpya tutaipata tu kwa sasa bado!

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Katiba inaletwa na wananchi na si watawala.Nadhani bado muda kuna wananchi hata hawajui nini kinaendelea hapa nchini wanajua ni bunge tu la kawaida.
 
kwa yanayoendelea bungeni na mijadala katika social networks Watanzania hatuko tayari kupata katiba mpya na gharama ya kupata katiba mbovu ni kubwa mno kuliko kuvunja huu mchakato na kusubiri tukiwa tayari kwa maana ya kila mtu kuwa na uwezo wa kufikiri with open mind ndo tutaanzisha upya tena mchkato wa kupata katiba mpya
 
Hivi hawa watu wanaojita UKAWA wanafikilia kweli vichwani mwao,wananchi mpaka saizi hatujawaelewa bado ni kitu gani hasa kilicho wafanya msuse bunge kwa sababu Mh Lipumba hoja alizotoa mimi naona kama ni za kitoto eti anasema wamechoka kubaguliwa , kunyanyaswa na kutukanwa wanasahau kujiuliza mbona na wao walivyo kuwa wanawatukana wenzao walivumilia mfano mzuri ni MH TUNDULISU alikuwa anatoa maneno mabaya dhidi ya upande wa wapili mbona hatukuona wanasusa bunge hata wao yalikuwa yanawauma lakini walivumilia .UKAWA kaeni mjitafakari na mjichunguze wenyewe kwanza na mjisahihishe najua mtarudi mbungeni hizo ni mbwembwe tu,UKAWA jiulizeni mmetumia kiasi gani cha kodi ya wananchi kwa siku mlizo kaa eti leo mtoka bungeni kizembezembe wananchi hatujawaelewa mpaka saizi rudini bungeni mkashindane kwa hoja ndio maana jamii inawona kama mna lenu jambo .Nawasilisha
 
Ndo nawasikiliza hapa duh........Saaasa nabaki kushangaa tu lol poor Tanganyika and Tanganyikans!!!!afu haohao wanasema kusiwe na serikali ya Tanganyika wakati wao wana serikali ya Zanzibar ....sisi watanganyika tuendelee tuu kuitiisha serikali yao lol!!
 
Back
Top Bottom