Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumatatu 17 machi 2014-Viapo kwa wajumbe, Jaji Warioba Kuwasilisha Rasimu

ulitaka wote wawe hedhi ndani ya hizo siku tatu?
una uhakika gani walitumika?
 
Wajumbe poleni na majukumu

Pamoja na kelele za wadau mbalimbali waliolalamika kuhusiana na mchakato wa katiba mpya kutokupitia hatua muhimu, sheria ya mabadiliko ya katiba ilipelekea Baraza Maalumu la Katibu kuundwa kwa ajili ya kujadili vipengele mbalimbali vilivyoainishwa katika rasimu ya pili ya katiba ya JMT.

Hadi kufikia leo hii, tumeona rafu mbalimbali zinazochezwa na baadhi ya wadau. Uzi huu utahusisha rafu za aina zote; ziwe za kikanuni, kisheria au kimazoea na namna ambavyo ilitakiwa ifanyike kwa malengo ya kuwajuza wawakilishi hao juu ya namna wanavyopaswa kuenenda katika shughuli za bunge kwa malengo ya kupata katiba iliyo bora

Kwa Mfano: Kufuatia Mwenyekiti wa kudumu wa BMK kutoa mwongozo wa kazi kwa juma hili., kuna rafu tayari imechezwa juu ya taratibu

AINA YA RAFU: Rais kutoa hotuba yake katika BMK baada ya Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba kuwasilisha rasimu ya pili bungeni.

USAHIHI: Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba alitakiwa kuwasilisha rasimu ya pili ya katiba ya JMT baada ya Raisi wa JMT kutoa hotuba yake

Nina uhakika kabisa kwamba matokeo juu ya muelekeo wa hatua za awali za kuanza kazi hii kwa kuzingatia scenerio hizi mbili za nani aanze kabla ya mwenzake yatakuwa na tofauti kubwa sana kwa kuwa kila atakayekuwa anamalizia atakuwa na nguvu ya kushawishi wajumbe juu ya ya masuala yatakayokuwa yameongelewa na ama Mwenyekiti wa Tume ya Mbadiliko ya katiba au Rais wa JMT.

Haikazwi pia kurejea rafu zilizochezwa so far kama ushaziona au kusikia au toka katia source yoyote.

NB: Rafu ninazozungumzia ni kutoka makundi yote ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba

Karibuni

==================================
Mwenyekiti amelazimika kusitisha shughuli za bunge leo jioni baada ya wabunge kukataa kusikiliza hotuba ya mwenyekiti wa tume ya Katiba. hii inaonesha pia Warioba ameamua kugoma kusoma kwani wazo la Sita lilikua isomwe tu.

Inadaiwa kuwa wabunge hawa wanataka protocol izingatiwe na Rais alifungue bunge kwanza na si vinginevyo hofu bila shaka ikiwa ni umuhimu wa hotuba ya Warioba utatiwa kampuni ikianza.
Yetu macho. tunaendelea kuona sura ya ule muhafaka unaotarajiwa na una sura inapambwa na matukio kama haya!

Bunge limehairishwa kwa muda.


Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wakati m/kiti wa tume ya mabadiliko ya katiba Jaji Warioba akianza kusoma hotuba yake,wabunge kadhaa walianza kugonga meza na kuzomea bila kikomo.hali hiyo imemfanya m/kiti wa bunge mh. Sitta kusitisha shughuli za bunge hadi itakapotangazwa tena.


Ni kweli bunge limeahirishwa mpaka watakapotangaziwa baada ya jaji Warioba kukaribishwa kuwasilisha rasimu ya katiba lakini wabunge walikuwa wanagonga meza zao kuashiria kutoafiki kuwasilishwa huko, pia nimewasikia wengine wakisema kanuni zifuatwe.
 
Ki kawaida ni kweli haitakiwi kusika msahafu ukiwa kichwa wazi,mwezini,etc ata kujishughulisha na masuala ya kidini ya kiislam haitakiwi.

Kwa iyo kama mwanamke akiwa na ayo mambo nna alafu anajua kila kitu zitakuwa ni zambi zake mwenyewe si anajua!!
 
Kwanini Warioba ahutubie kabla ya Bunge kuzinduliwa na Rais? Alafu kazi yote ile ya tume alafu wanapewa masaa mawili tu?
Mkuu, na kwa nini Rais ahutubie kabla wabunge hawajakabidhiwa rasmi Rasimu ya Kanuni? Hapo umenikumbusha hadithi ya nini kimeanza kati ya kuku na yai
 
Kwa jinsi Mtiririko wa Matukio ulivyo,Najuta kwa nini nilizaliwa nikajikuta napenda kufatilia masuala ya Siasa,Bora ningekua Mfatiliaji hata wa Mieleka Nikaepukana na Pressure hizi,Maana napoona Watu wachache wanajaribu kupindisha Maoni ya Walio Wengi kwa Maslahi yao Binafsi, Moyo Wangu unajaa Mithili ya Kuripuka,Eee Mungu nisaidie.

Kweli mkuu wakati mwingine unaweza kuwaponge watu wasio na interest na siasa, lakini ukikumbuka kuwa siasa ndio kila kitu inakulazimu upambane tu mpaka mwisho.!!
 
Mkuu, na kwa nini Rais ahutubie kabla wabunge hawajakabidhiwa rasmi Rasimu ya Kanuni? Hapo umenikumbusha hadithi ya nini kimeanza kati ya kuku na yai

Mkuu kwa hiyo ratiba ya warioba ni saa 11 jioni?
 
Mkuu, na kwa nini Rais ahutubie kabla wabunge hawajakabidhiwa rasmi Rasimu ya Kanuni? Hapo umenikumbusha hadithi ya nini kimeanza kati ya kuku na yai

Tumeambiwa kanuni inamtaka Rais kuhutubia kwanza ndio maana nauliza kwanini ilazimishwe Warioba kuhutubia kwanza kinyume na kanuni?
 
Yani leo jioni unaweza kuwa mwanzo wa mpasuko wa taifa endapo wajumbe wasipokua makini
 
download (11).jpg
si yule wa bunge la 9
 
wajumbe poleni na majukumu

pamoja na kelele za wadau mbalimbali waliolalamika kuhusiana na mchakato wa katiba mpya kutokupitia hatua muhimu, sheria ya mabadiliko ya katiba ilipelekea baraza maalumu la katibu kuundwa kwa ajili ya kujadili vipengele mbalimbali vilivyoainishwa katika rasimu ya pili ya katiba ya jmt.

Hadi kufikia leo hii, tumeona rafu mbalimbali zinazochezwa na baadhi ya wadau. Uzi huu utahusisha rafu za aina zote; ziwe za kikanuni, kisheria au kimazoea na namna ambavyo ilitakiwa ifanyike kwa malengo ya kuwajuza wawakilishi hao juu ya namna wanavyopaswa kuenenda katika shughuli za bunge kwa malengo ya kupata katiba iliyo bora

kwa mfano: Kufuatia mwenyekiti wa kudumu wa bmk kutoa mwongozo wa kazi kwa juma hili., kuna rafu tayari imechezwa juu ya taratibu

aina ya rafu: rais kutoa hotuba yake katika bmk baada ya mwenyekiti wa tume ya marekebisho ya katiba kuwasilisha rasimu ya pili bungeni.

usahihi: mwenyekiti wa tume ya marekebisho ya katiba alitakiwa kuwasilisha rasimu ya pili ya katiba ya jmt baada ya raisi wa jmt kutoa hotuba yake

nina uhakika kabisa kwamba matokeo juu ya muelekeo wa hatua za awali za kuanza kazi hii kwa kuzingatia scenerio hizi mbili za nani aanze kabla ya mwenzake yatakuwa na tofauti kubwa sana kwa kuwa kila atakayekuwa anamalizia atakuwa na nguvu ya kushawishi wajumbe juu ya ya masuala yatakayokuwa yameongelewa na ama mwenyekiti wa tume ya mbadiliko ya katiba au rais wa jmt.

Haikazwi pia kurejea rafu zilizochezwa so far kama ushaziona au kusikia au toka katia source yoyote.

Nb: Rafu ninazozungumzia ni kutoka makundi yote ya wajumbe wa bunge maalumu la katiba

karibuni



Ni vizuri sasa wale wenzetu wa ukawa wakatu onyesha nini tulichowatuma.

Kwa ijumaa raisi akianza kuhutubia wao wanatoka nje ili kuonyesha kutokuunga mchezo huu mchafu wa jamaa wa jezi ya kijani kupitia kwa SS.-Mwenyekiti wa bmk
 
Back
Top Bottom