Mkuu sio mfupi yaani ulikuwa mrefu sana, alitamani ahesabu dari maarufu kama silingboard, lakini bahati mbaya ana gypsum, hivo ilikuwa ni sheeedahusiku wa jana ulikua ni usiku mfupi sana kwa Werema
Mkuu pasco mi nimesikia kuwa hati za miamala ya account ya escrow imewasilishwa,natumaini swala litajadiliwa na naombea iwe hivyo.
Umeme wameshakata, sasa naomba wadau watujuze ni radio gani inatangaza live kutoka Dodoma? kwani hapa tunaweza kusikiliza hata kwenye simu zetu.
TBC TAIFA FM FREQUENCIES
MHz RDS regional program transmitter location Pmax
87.5 Dar es Salaam/Kisarawe (des)
87.7 Dodoma (ddo)
88.4 Kigoma (kgm)
88.5 Mwanza (mwz)
89.2 Mwanza (mwz)
89.6 Tanga (tng)
91.6 Arusha (ars)
92.3 Nachingwea (lin)
93.5 Lindi (lin)
98.7 Songea/Matagoro (rvm)
99.7 Zanzibar (Unguja) (zbw)
105.9 Masasi (mtw)
Pasco mchokonozi.....
Ahsantee mkuu hapa nina powerbank mbili.
How does this relate to this thread, mbona mnapenda kuharibu flow ya thread za watu, si ukaanzishe yako ili uweke huo upuuzi wako?
tunajua hicho ni kilembelembe cha mahakama na majaji wasaka tonge tu hakuna lolote watakalo fanya. Kama ni mshiko wameshavuta na wametekeleza wajibu wao kwa (iptl) waliowahonga. Ila spika makinda japo ni mnoko lkn hakuwa na jinsi imem'bidi asome alama za nyakati na ndio maana amefanya aliyofanya. Ww ulale ulie uzibe misikio lkn leo lazima kielewekemkuu mwana haki, hili la ukilaza, nalikubali!, hili la upuuzi pia nalikubali, ila kwa jmt, chombo pekee cha mamlaka ya kutamka amri fulani ni "null and void" ni mahakama pekee!.
Hakuna yoyote aliye juu ya sheria!, hata bunge lipo kwa mujibu wa sheria, na linatekeleza majukumu yake kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni!, mahakama ikitoa amri halali, mtu awaye yote ndani ya jmt ana wajibu wa kuitekeleza, hata bunge is no exceptional, kama rais tuu ambaye ndiye mkuu wa nchi, huyo spika yeye ndio nani akaidi amri halali ya mahakama?!.
Mimi naunga mkono kiburi cha bunge kuidharau mahakama, ili tuu ripoti isomwe!, lakini pia naelewa consequences za kudharauliwa kwa mahakama!.
Pasco.
Hakuna radio ambayo iko online inayotangaza hiyo kitu. Manake raha usikie toka kwenye mdomo wa farasi.
Mkuu Mwana Haki, hili la ukilaza, nalikubali!, hili la upuuzi pia nalikubali, ila kwa JMT, chombo pekee cha mamlaka ya kutamka amri fulani ni "null and void" ni mahakama pekee!.
Hakuna yoyote aliye juu ya sheria!, hata Bunge lipo kwa mujibu wa sheria, na linatekeleza majukumu yake kwa kufuata sheria, taratibu na kanuni!, mahakama ikitoa amri halali, mtu awaye yote ndani ya JMT ana wajibu wa kuitekeleza, hata bunge is no exceptional, kama rais tuu ambaye ndiye mkuu wa nchi, huyo Spika yeye ndio nani akaidi amri halali ya mahakama?!.
Mimi naunga mkono kiburi cha Bunge kuidharau mahakama, ili tuu ripoti isomwe!, lakini pia naelewa consequences za kudharauliwa kwa mahakama!.
Pasco.
Hivi ratiba inasemaje kuhusu eskoroo?
nataka nijue kodi yangu nayolipa wanaitumiaje?Wewe mpuuzi fanya kazi na tumbo lako hilo mambo ya siasa ya nini wewe?
Tanesco wamefanya yao bila kuchelewa
pinda hayupo, makinda hayupo, muhongo hayupo, tibaijuka hayupo, chenge hayupo, ngeleja hayupo.