Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
umbea siyo mzuri ndugu esther hajataja jina la mtu wewe huyu uliyemtaja ni wewe kama unawivu naye ni mambo yenu ya kike hatujui mmekosana wapi usiyalete na huku.

uharo uharo uharo,, unatafuta umaarufu ki maaaakuuuu,,
hupati ng'o.
 

maka ni kitu gani
 
Sijui..... kwanza wameshacheza na saikolojia yetu wametuvuruga kwa kuingiza vyama vya siasa kwenye mgogoro huu,pili wameshasema hela zinazopigiwa kelele ni za SCB,tutasikia mengi zaidi wanatukoroga weeee mpka basi......

Amini nakuambia itasomwa
Aliyenitumia ujumbe kuwa itasomwa yupo huko ddm na namuamini ni kada pia!
 
Hahahaa haaaa
Mwenzangu Eskrooo ndo habari ya mjini

Bora ningebaki MMU tuu....Huku full stress yani hapa nina hasiraaa......Watu hatuna sh 10 halafu hawa wajaa laana wanagawana billions za kodi zetu......haki ya kujadili basi walivyotuibia ibia wanatunyima.....
Natamani kumng'ata Mtu yani.......!
 
Haya mambo ya mismanagements za nchi ndio yaliwafanya wananchi wa Reunion, kisiwa kimojawapo katika Bahari ya Hindi kupiga kura ya kuacha kuwa chini ya 'wakoloni' hawa wapuuzi na kuamua kurudia kuwa koloni la Mfaransa! Inauma lakini ndio njia pekee ya kupata dignity ya binadamu!
 
Ndiyo mda sasa wa ccm imani kujitenga na ccm masilahi kwanza !!!! Ccm imani msikubaali piganeeni hadi kieleweke mwageni mboga na ugali!!1
 
umbea siyo mzuri ndugu esther hajataja jina la mtu wewe huyu uliyemtaja ni wewe kama unawivu naye ni mambo yenu ya kike hatujui mmekosana wapi usiyalete na huku.
Mbona sioni jina lilipotajwa,kuwa mpole wewe muhaya dawa ikuingie
 

Na akirudi jioni, atatumia muda kadhaa kutoa majibu ya miongozo ya leo. Kisha atasema wamepokea 'order', hamna mjadala, wabunge watalalamika (kelele) zitatawala, atahairisha bunge!! Stori imeisha. Mkubwa na wanawe nuksi. Hii movie, ni hatare! Kama series ya 24, kuna series prezoo alikuwa anapiga dili za hatari.
 
hawa wajinga walisha tufanya sisi mandondocha nipi tayari kwa lolote kuchoma bunge au kuingia ikulu tumsimike ikulu rais tumtakae huu upuuzi unauma roho sana kufanywa mazezeta
 
Watanzania kwa Ujumla tumesikitishwa na bunge kuahirishwa hadi saa 11 ingali mdaa wa kusomwa Report upo.Nakubaliana na usemi wa Mzee Warioba alioutoa jana katka mjadala wa katiba "KUNA CCM IMARA NA MASLAHI.Sikuona sababu ya mdaa uliobaki kuchezewa kihuni huni tu.Cha ajabu Mwenyekiti zungu analazimisha hadi miongozo na haijawahi kutokea then anasema majibu yote ya miongozo itajibiwa jioni.Taasisi tuliyokuwa tunaimani nayo ni Bunge la kini kwa hili linaloendelea litapoteza Imani na sifa kwa Dunia nzima na kuzidi kuchafua nchi yetu.Escrow Escrow....unanini hapo kati.Nyerere amka ujionee haya.
 
naomba maelezo/ushauri
maana ya hati ya mahakama ndio nini kwa sasa?
Je ni kuzuia mjadala? Na kama hivyo ndivyo.
Je?kuna tofauti gani na kulawitiwa?
 
Bunge mwisho tarehe 28,keshokutwa.isiposomwa leo,tusubiri november mwakani,kwani mda kama hautoshi kuijadili kwa siku moja.
mabibi na mabwana mi nadhani mzoee tu.
kikubwa repoti ikae hapa jf watu tuijadili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…