Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Hii nchi wananchi tusipochukua hatua sisi wenyewe hatutafika kokote,ccm cjui ni nani kawalogs! Yaani wametoa hata ile mishipa ya aibu hawana kabisaaaaaa!!!
 
Nchi nyingine wananchi wangekua wamelizunguka bunge sshv...
Hiv tz Jamani tuamke

christine ibrahim kuna mtu humu alinichekesha sana Jana humu nilishindwa kuelewa amefikiri nini? Jamaa alisema! " Hivi wanaume wote tuliopo Tanzania kama sakata la Escrow likifanyiwa mizengwe na tukashindwa kufanya chochote kwanini tusiolewe tuu?"

Nilicheka sana daaa huyu jamaa ana machungu sana na hakika watanzani tuko nyuma sana angalia nchi za wenzetu mtoto kapigwa risasi watu wame react hadi Us defense secretary anataka kujiuzulu!

Hakika mahakama zinatumika vibaya sana tena sana! Ngoja tuone jioni!
 
Last edited by a moderator:
na wasiwasi kama ripoti itasomwa kwa sababu bungeni wanadai hadi muda huu haijawasilishwa inawezekana wameahirisha ili kuwapa muda mahakama wapeleke barua ya zuio.
Lakini watetezi wa kesi ile walikuwa wanasheria toka serikali ambao wapo chini ya mwanasheria mkuu ambaye naye ni miongoni mwa watuhumiwa kuna uwezekano hawakufanya juhudi zozote ili ripoti isomwe bungeni
Majaji wa mahakama wameshakosa uaminifu kwani miongoni mwao wapo waliochotewa pesa zinazojadiliwa na hatujasikia hatua zozote za kinidhamu na maadili zikichukuliwa
 
Nadhani kamati ya uongozi walikua bado hawajafikia mwafaka na ndo kisa cha bunge kusitishwa
 
Zungu kusema hawajapokea taarifa yeyote kuhusu zuio la mahakama ina maana wakipokea kuna uwezekano wa kusitisha mjadala! Katika hili alitakiwa kuwa wazi kuwa bunge alitopangiwa jinsi ya kufanya kazi!

Zungu kusema miongozo yote ya Kuhusu Escrow ataijibu jioni ni wazi kuna uwezekano wa report kutosomwa hata hiyo jioni!

hilo nalo neno...
 
Kwa nini wez mnawachelewesha wa escrow? Ripot zote zipo tayar had mnasababisha baadhi ya kurasa kuibiwa mala mahakama ipinge viongoz wamekosa maamuzi taifa halina msimamizi kila mtu ni mkubwa ufisadi ni balaa kwa Tanzania kila kona ni skendo.
.
Rais ametoka katika kabila la ukwe_re usisahau.
Kila kitu vululu nchini sasa. Bunge mara zote ndilo limewajibisha wabadhirifu yeye rais hana hata utashi wa kutofautisha kati ya jema nabaya.
Rais wetu yupo yupo tu!
.
 
Inaonekana watz wengi sio wafuatiliaji WA bunge mpaka kuwe na umahususi kama huu. Siku zote muda huu bunge linaenda break halafu linarudi muda tajwa. Sass mnataka kanuni zisifuatwe kuridhisha hisia, hii haipo, la msingi Ni kujua ratiba kutoka chanzo cha kuaminika.
 
Umeona eeh; hii no paka na panya tu mkuu. Wahusika no wao tu. Poleni wabunge
 
christine ibrahim kuna mtu humu alinichekesha sana Jana humu nilishindwa kuelewa amefikiri nini? Jamaa alisema! " Hivi wanaume wote tuliopo Tanzania kama sakata la Escrow likifanyiwa mizengwe na tukashindwa kufanya chochote kwanini tusiolewe tuu?"

Nilicheka sana daaa huyu jamaa ana machungu sana na hakika watanzani tuko nyuma sana angalia nchi za wenzetu mtoto kapigwa risasi watu wame react hadi Us defense secretary anataka kujiuzulu!

Hakika mahakama zinatumika vibaya sana tena sana! Ngoja tuone jioni!

Hahahaa haaaa uwiii
Sikuiona hyo!

Ila unajua ukifikiria sa nyingine unashikwa na hasira sana basi tu...
Ngoja tuone Mungu atusaidie. ..kuna mdau amenitxt hapa kuwa.lzm isomwe ni kada wa kundi la mwakyembe !
Sasa km na yy muongo ndo basi tena. ...
 
Last edited by a moderator:
christine ibrahim kuna mtu humu alinichekesha sana Jana humu nilishindwa kuelewa amefikiri nini? Jamaa alisema! " Hivi wanaume wote tuliopo Tanzania kama sakata la Escrow likifanyiwa mizengwe na tukashindwa kufanya chochote kwanini tusiolewe tuu?"

Nilicheka sana daaa huyu jamaa ana machungu sana na hakika watanzani tuko nyuma sana angalia nchi za wenzetu mtoto kapigwa risasi watu wame react hadi Us defense secretary anataka kujiuzulu!

Hakika mahakama zinatumika vibaya sana tena sana! Ngoja tuone jioni!

Duh!! Mwenyewe niliiona nilicheka sana halafu sikufatilia tena hivi kuna aliyemjibu chochote?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom