Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Kama wako serious na makini watanielewa ila kama wanatuzuga sisi wapiga kura basi watapuuzia.Well said
Kama wako serious na makini watanielewa ila kama wanatuzuga sisi wapiga kura basi watapuuzia.Well said
Mbona hatua mlishachukua, au wewe huzioni? Si ni hizi za ku-post na kuishia kulalamika nyuma ya keyboard tu, au kwani Watz wanajua hatua zingine za kuchukua zaidi ya hii? Haitakaa ikatokea, nyie endeleeni ku-post tu hapa huenda wale wazee watawasikia na kurudisha pesa zenu kwa wingi wa posts zenu humu!Hii nchi wananchi tusipochukua hatua sisi wenyewe hatutafika kokote,ccm cjui ni nani kawalogs! Yaani wametoa hata ile mishipa ya aibu hawana kabisaaaaaa!!!
Waziri wa ulinzi wa marekani chuck hagel hahusiki na mambo ya ferguson.christine ibrahim kuna mtu humu alinichekesha sana Jana humu nilishindwa kuelewa amefikiri nini? Jamaa alisema! " Hivi wanaume wote tuliopo Tanzania kama sakata la Escrow likifanyiwa mizengwe na tukashindwa kufanya chochote kwanini tusiolewe tuu?"
Nilicheka sana daaa huyu jamaa ana machungu sana na hakika watanzani tuko nyuma sana angalia nchi za wenzetu mtoto kapigwa risasi watu wame react hadi Us defense secretary anataka kujiuzulu!
Hakika mahakama zinatumika vibaya sana tena sana! Ngoja tuone jioni!
Inaonekana watz wengi sio wafuatiliaji WA bunge mpaka kuwe na umahususi kama huu. Siku zote muda huu bunge linaenda break halafu linarudi muda tajwa. Sass mnataka kanuni zisifuatwe kuridhisha hisia, hii haipo, la msingi Ni kujua ratiba kutoka chanzo cha kuaminika.
Hebu anza wewe kwanza tukuone then sisi tutafuata, mbona unayasema haya ukiwa nyuma ya keyboard? Mi nilidhani uko Dodoma tayari?
Ndio maana tuna Part II lukuki kwenye Bongo Movies.
Sisi ndio tumerogwa na mchawi wetu ndio huyo CCM. We unafikiri hili zogo tunalopiga humu kama tungeamua kulifanya kwa vitendo kwakwenda kukesha nje ya bungu (au mahala popote pale penye uwazi) usiku wajana wote, unadhani ingekuaje? Wenzetu MSUMBIJI ilipanda bei ya mkate tu, lakini watu walionyesha hisia zao kwa vitendo lakini sisi jambo kubwa kama hili (au tunasubili kubwa lipi zaidi? ) tumejazana JF (na mitandao mingine ya kijamii) tunatiana ujinga tu. Hili swala litapita kama "upepo " yalivyo pita mengine yaliyo tangulia.Hii ccm ni nani aliyewaloga???
...Nakwambia,hayo yote imewezekana sb tuna corrupt system
Mhh!! Ndugu bunge linaisha siku zote saa 5? Maana ndo muda lilipohairishwa,hapana usitupotoshe...
Huo "umoja" maana yake ni nini? Unasubiri watu wawe wangapi ndio uone kwamba huo umoja umekuwa na nguvu? Katika nchi zote zilizowahi kufanya mapinduzi duniani, mara nyingi mapinduzi hayo huanzishwa na mtu mmoja then kikundi kidogo na hatimaye wanakuwa wananchi wengi. Sasa wewe badala ya kutumia muda huu ku-organize watu wachache kwa ajili ya kulianzisha cha ajabu uko busy hapa JF una-post lawama kibao. Utasubiri miaka elfu 6 kwa hilo unalolitaka kutokea ikiwa hii ndio mentality ya watu wanaojiita GT kama wewe! Yaani ni heri kukaa kimya tu na kuacha mambo yajiendee kwa kudra za Mwenyezi Mungu!sipo nyuma siwez kukaa nyuma mkuu.
Halafu jua umoja ni nguvu
Alikua kwenye kamati ya uongozi ya bunge.Jaman kale kamaza kaspika bungeni kapo au??kuna m2 kanambia kakimbia
Ameenda kuchukua zuio la mahakama.Jaman kale kamaza kaspika bungeni kapo au??kuna m2 kanambia kakimbia