Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

Status
Not open for further replies.
Hii nchi wananchi tusipochukua hatua sisi wenyewe hatutafika kokote,ccm cjui ni nani kawalogs! Yaani wametoa hata ile mishipa ya aibu hawana kabisaaaaaa!!!
Mbona hatua mlishachukua, au wewe huzioni? Si ni hizi za ku-post na kuishia kulalamika nyuma ya keyboard tu, au kwani Watz wanajua hatua zingine za kuchukua zaidi ya hii? Haitakaa ikatokea, nyie endeleeni ku-post tu hapa huenda wale wazee watawasikia na kurudisha pesa zenu kwa wingi wa posts zenu humu!
 
Waziri wa ulinzi wa marekani chuck hagel hahusiki na mambo ya ferguson.
yeye analazimishwa kuachia ngazi sababu ya matokeo yale ya uchaguzi,kwakua yeye ni republic obama anataka kuweka mtu wa chama chake ili kusiwepo mkinzano katika kufanya maamuzi.kwahiyo lazima anaachia ngazi.
 
Last edited by a moderator:
Spika Ana Makinda ametufariji aliposema kuwa Mhimili wake hauzuiliki. Mjadala ukiyumbishwa hapatatosha Dom.
 
Kama sheria na kanuni za bunge zinasema bunge haliwezikuzuiwa kufanya kazi zake Kamati ya uongozi ilikutana kujadili nini wakati kwa mujibu wa sheria na kanuni za bunge hakukuwa na cha kujadili maana hilo zuio kama lipo automaticaly ni null and void? Wanapokeaje zuio ambalo halitambuliwi kisheria na kikanuni?

Unless waseme wanajadili directives na vimemo kutoka juu....
 

Mhh!! Ndugu bunge linaisha siku zote saa 5? Maana ndo muda lilipohairishwa,hapana usitupotoshe...
 
Hebu anza wewe kwanza tukuone then sisi tutafuata, mbona unayasema haya ukiwa nyuma ya keyboard? Mi nilidhani uko Dodoma tayari?

sipo nyuma siwez kukaa nyuma mkuu.
Halafu jua umoja ni nguvu
 
Hii ccm ni nani aliyewaloga???
Sisi ndio tumerogwa na mchawi wetu ndio huyo CCM. We unafikiri hili zogo tunalopiga humu kama tungeamua kulifanya kwa vitendo kwakwenda kukesha nje ya bungu (au mahala popote pale penye uwazi) usiku wajana wote, unadhani ingekuaje? Wenzetu MSUMBIJI ilipanda bei ya mkate tu, lakini watu walionyesha hisia zao kwa vitendo lakini sisi jambo kubwa kama hili (au tunasubili kubwa lipi zaidi? ) tumejazana JF (na mitandao mingine ya kijamii) tunatiana ujinga tu. Hili swala litapita kama "upepo " yalivyo pita mengine yaliyo tangulia.
 
Baada ya kipindi cha maswali na majibu leo asubuhi Mwenyekiti wa Bunge wa kikao cha leo Mhe. Zungu aliwatambulisha wageni akiwemo mke wa Kafulila na kuongezea kwamba ni kada wa Chadema jambo ambalo nimeliona kuwa ni ukomavu mkubwa wa kisiasa wa Mhe. Kafulila. Big up Mhe.
 
sipo nyuma siwez kukaa nyuma mkuu.
Halafu jua umoja ni nguvu
Huo "umoja" maana yake ni nini? Unasubiri watu wawe wangapi ndio uone kwamba huo umoja umekuwa na nguvu? Katika nchi zote zilizowahi kufanya mapinduzi duniani, mara nyingi mapinduzi hayo huanzishwa na mtu mmoja then kikundi kidogo na hatimaye wanakuwa wananchi wengi. Sasa wewe badala ya kutumia muda huu ku-organize watu wachache kwa ajili ya kulianzisha cha ajabu uko busy hapa JF una-post lawama kibao. Utasubiri miaka elfu 6 kwa hilo unalolitaka kutokea ikiwa hii ndio mentality ya watu wanaojiita GT kama wewe! Yaani ni heri kukaa kimya tu na kuacha mambo yajiendee kwa kudra za Mwenyezi Mungu!
 
Ni msimamizi wa kanda ya kati. Chadema. Shemeji mpambanaji.

Hakikka inaprndeza sana yaani
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…