PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Upuuzi CCM ni WaTanzania au Warundi?
ccm sio watz wala warundi, ni watawala wenye nia ovu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi CCM ni WaTanzania au Warundi?
Hili suala la katiba mpya nadhani CCM hawakuwa na nia dhati ya kuifanyia kazi kwa sasa... Wajumbe warudishwe makwao tuendelee na katiba iliyopo. Nchi hii kila mtu achukue mbao yake.
Watanzania mliopo Dodoma hebu lizungukeni bunge muwatie bakora hawa wahishimiwa
Watanzania mliopo Dodoma hebu lizungukeni bunge muwatie bakora hawa wahishimiwa
labda ww huna mbao,wenzio washabeba zamaaani,na nyingine IPTL wamezimalizia juzi pale BoT kwenye hukumu ilotolewa saa 8 usiku
Naona ole sendeka ameamua kupigania maslahi ya ccm iwe usiku, mchana, mvua, jua, nk labda kwa kuwa anaamini mabadiliko ya system ikitokea lazima aondoke na maji! i guess so!
mostly ni wagogo,na wagogo ni Ombaomba,waache kwenda kuomba fedha waanze kuwawajibisha wajumbe
ni ngumu kufuta swala la theluthi mbili
1. Huyu mama aliyekaa nyuma ya Ole Sendeka ni nani? (Kundi/Chama gani)
2. Huyo dada aliyekaa pembeni ya Heche ni nani? (Kundi/Chama gani?)
.............teh teh hukumu saa 8 usiku!
huyo form IV leaver bhana.akitoka hapo atafanya kazi gani?????
na jaji alipohojiwa na mwandishi akang'aka,akamwambia mwandishi ww ndo hujaandika wenzio wote wameshaandika,soma mwananchi la leo
Unataka kunifanya nini baada ya kujua?Naomba kujua unawakilisha kundi gani hapo mjengoni!