Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Yanayojiri Bungeni Dodoma leo March 08, 2014

Kifup ni kwamba katiba haitapatikana kwa wakat ulipoangwa,JK ataendelea na urais wake,na hawa wajumbe wameshaonesha itikad zao,itatugharimu sana sana sana,hao wajumbe wanafanya makusudi kama huyo Buu-ulembo huyo,
 
Naona ole sendeka ameamua kupigania maslahi ya ccm iwe usiku, mchana, mvua, jua, nk labda kwa kuwa anaamini mabadiliko ya system ikitokea lazima aondoke na maji! i guess so!
 
Watanzania mliopo Dodoma hebu lizungukeni bunge muwatie bakora hawa wahishimiwa
 
ni ngumu kufuta swala la theluthi mbili
 
Hili suala la katiba mpya nadhani CCM hawakuwa na nia dhati ya kuifanyia kazi kwa sasa... Wajumbe warudishwe makwao tuendelee na katiba iliyopo. Nchi hii kila mtu achukue mbao yake.

labda ww huna mbao,wenzio washabeba zamaaani,na nyingine IPTL wamezimalizia juzi pale BoT kwenye hukumu ilotolewa saa 8 usiku
 
Hawa wajumbe wa CCM bwana. Wanajifanya wanapenda UWAZI wakati mikataba minono wanajazia KIZANI. Toka lini CCM ikapenda UWAZI wa namna hii? Haina historia hii. Huu ni u.umbavu tu.
 
Naona ole sendeka ameamua kupigania maslahi ya ccm iwe usiku, mchana, mvua, jua, nk labda kwa kuwa anaamini mabadiliko ya system ikitokea lazima aondoke na maji! i guess so!

huyo form IV leaver bhana.akitoka hapo atafanya kazi gani?????
 
1. Huyu mama aliyekaa nyuma ya Ole Sendeka ni nani? (Kundi/Chama gani)

2. Huyo dada aliyekaa pembeni ya Heche ni nani? (Kundi/Chama gani?)
 
Back
Top Bottom