Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

Yanayojiri Bungeni Kenya: Wabunge 281 wapiga kura ya kumuondoa madarakani Gachagua

wakati huo huo Nchini Tanzania Spiker wa bunge amtimua mbunge mwenzake bungeni kwa kuhoji njia zilizotumika katika kutoa vibali vya ununuzi wa Sukari

Ikiwa Kenya wabunge wana Uhuru wa kupiga kura juu ya madaraka ya mtu yeyote Nchini Tanzania ni mtu mmoja anae weza kukatisha madaraka ya mtu katika Uongozi ikitokea amekutamani kimapenzi ukamgomea basi atakuondoa kwenye utumishi wa Uma

Hali haiko hivyo Nchini Kenya bali ni mchakato wa kikatiba na kura za wazi kuhusu hatima ya Uongozi wa kila mtu'
 
Tanzania hakuna haja kua na katiba mbovu kama ya Kenya kuhusu mambo ya uongozi. Makamu wa Rais ni principal assistant wa Rais Full stop.
Kumbe ndivyo ilivyo...kwa hiyo Dr. Samia alikuwa ndiye principal assistant wa Dr. Magufuli full stop! Kweli dunia hadaa...kazi iendelee!
 
Kumbe ndivyo ilivyo...kwa hiyo Dr. Samia alikuwa ndiye principal assistant wa Dr. Magufuli full stop! Kweli dunia hadaa...kazi iendelee!
sio kumbe,
ndiyo pekee kazi mahususi ya makamu wa rais. Hujawa assigned kazi yoyote na Rais kaa ofisini kwako soma magazeti, rudi nyumbani kwako kalale na mwisho wa mwezi kachukue mshahara wako, full stop.

Lengo la nafasi ya Makamu wa Rais ilikua ni kuepusha kufanya uchaguzi mwingine ambao ni gharama sana endapo Rais atashindwa kutekeleza majukumu yake kwa kuugua au kufariki...

Hata hivyo ni muhimu sana kuzingati 48 laws of power katika kutekeleza majukumu yake ya makamu wa Rais, vinginevyo, yeyote atakae dinda kwenda sambamba na mafundisho ya Robert Greene, atakwenda na maji kama Rigathi Gachagua aliedhani siasa katika nafasi ya Unaibu rais ni kelele kumbe ni sayansi 🐒
 
Wewe takataka, huna akili wala uwezo wa kunielewa, bye bye!
 
Wakenya wanajielewa

Sio sisi Watanganyika

Tupo kama wehu

Bandari zinauzwa, Masai wamekuwa wakimbizi, Serengeti inakuwa Kwa uchimbaji, umeme wa kubip, utekaji, Rushwa nk.

Lakini tunaona kama haya hayatuhusu
Wakenya wamekataa
 
Ukiacha ukabila, kosa kubwa alilofanya ni kujiunga na Ruto.
Ruto ni mbinafsi, hawezi iva chungu kimoja na mtu yeyote yule.

Ruto ni mzee wa kutumia fursa. Anapokuhitaji atajionyesha kama anaweza hata kufa kwa ajili yako, matumizi na mtu yakiisha anakutupilia kule.

Uhuru alionya sana Wakenya kuhusu Ruto, lakini hawakumuelewa.
Mkuu huu ndio Utanzania halisi makosa ya huyu Waziri mkuu tumeyasikia akitamka ukabila kuhusu viongozi wachaguliwe kwa share akipingana na Rais wake leo hii unakuja kunzungumzia Ruto kana kwamba sisi hatufatilii hii ishu kama Ruto angekua na makosa kama hayo nae wangemuondoa pia kwa kura.
 
Ok. Ila nilikuwa namuongelea Naibu Raisi na si waziri mkuu. Pia ukirejea comment yangu, utaona nimeanza na neno 'ukiacha ukabila' kumaanisha nakubali kuwa ni mkabila japo kuna sababu nyingine mbali ya kauli zake za kiukabila.

Ila kubwa na la muhimu zaidi, ilikuwa ni maoni yangu binafsi, hupaswi kuyachukulia kuwa ni biblia kupelekea kushurtishwa kuamini ama kuhoji uelewa wako kiasi cha kusema nimekuchukulia kama hufuatilii habari.
Tunaweza wote kufuatilia habari moja lakini tukaamua kuelewa tofauti.
Uwe na asubuhi yenye baraka tele chief.
 
Back
Top Bottom