Ciril
JF-Expert Member
- Jan 10, 2011
- 8,558
- 7,168
Kibali cha kufanya mkutano mnacho bwashee?
Leteni Polis Mkuu.
Kibali cha kufanya mkutano mnacho bwashee?
Mkuu Molemo, asante and it's good to learn kuhusu Molemo Media, natumaini utatuletea live kupitia live streaming, naona kama umebeba mikoba ya Tumaini Makene, maana simsikii au na yeye ameisha jitambua?.
Hiki unachofanya sasa ndicho tulichowashauri mfanye toka ile 2015, mu invest into mass mobilization strategies za reaching out to reach the masses, mlipaswa muwe na redio yenu, TV yenu na interactive online media ya chama kabisa na sio kutegemea individual efforts.
Asante kutuhabarisha.
P
Ushauharibu tayari nakutukana hapa nilipo nikikufananisha na sehemu za siri za mwanamke zinazotumika kuzalia watotoJo muda utasema.. Ngoja tusiharibu Uzi wa wamama wetu
Jr[emoji769]
Mdudu acha matusi utani na shughuli sio mbaya....we kweli mdudu.Kabisa Mkuu, ndiyo tatizo la jukwaa kuvamiwa na vitoto vinavyokaa kwa mashemeji,kakitumwa mboga kanaficha chenji ili kapate bando.
Mkuu Molemo, asante and it's good to learn kuhusu Molemo Media, natumaini utatuletea live kupitia live streaming, naona kama umebeba mikoba ya Tumaini Makene, maana simsikii au na yeye ameisha jitambua?.
Hiki unachofanya sasa ndicho tulichowashauri mfanye toka ile 2015, mu invest into mass mobilization strategies za reaching out to reach the masses, mlipaswa muwe na redio yenu, TV yenu na interactive online media ya chama kabisa na sio kutegemea individual efforts.
Jamaa yangu alipokuja ile 2015 nilikuwa na matumaini makubwa
Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!
Hata hivyo asante kutuhabarisha.
P
Pascal una maana sisi tulio Chadema hatujitambui? Umetoka kuwa Pascal mjenga hoja fikirishi na sasa umekuwa Pascal mpiga vijembe.Mkuu Molemo, asante and it's good to learn kuhusu Molemo Media, natumaini utatuletea live kupitia live streaming, naona kama umebeba mikoba ya Tumaini Makene, maana simsikii au na yeye ameisha jitambua?.
Hiki unachofanya sasa ndicho tulichowashauri mfanye toka ile 2015, mu invest into mass mobilization strategies za reaching out to reach the masses, mlipaswa muwe na redio yenu, TV yenu na interactive online media ya chama kabisa na sio kutegemea individual efforts.
Jamaa yangu alipokuja ile 2015 nilikuwa na matumaini makubwa
Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!
Hata hivyo asante kutuhabarisha.
P
Tunasubiria kwa hamu kumsikia mubashara.Sisi wa Molemo Media tutakuwa hapa kuwahabarisha watanzania na dunia kwa Ujumla yale yote yatakayojiri hususan hotuba ya Freeman Mbowe kwa wanawake na Taifa kwa ujumla.
Karibuni sana.
Sio mkutano, ni maadhimisho.Kibali cha kufanya mkutano mnacho bwashee?
Mnyama Yanga au siyo kaka Mshana Jr?Safi kabisa tuwaombee sana... Na tusisahau pia leo ni siku ya ushindi wa kihistoria wa mnyama...
Jr[emoji769]
Anapakatwa halafu anatulia tuli
Kwenye hoja hiiMkuu ulikuwa na matumaini na jamaa yako sio kwakuwa alikuwa mwanasiasa mzuri, bali mmwaga pesa aliyekuwa ndani ya siasa. Hivyo hukuwa na imani naye kisiasa bali imani kwenye fedha zake. Kwa taarifa yako yule mzee jamaa yako hakuwa mwanasiasa, bali tapeli lililotumia fursa ya kisiasa kujipatia mapato haramu.
Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola. Ndani ya Chadema kuna makundi mawili, wako wanaojitambua, na wasio jitambua. Wanaojitambua wakiisha gundua Chadema ipo ipo tuu na haina mpango wowote wala uwezo wa kushika dola, wanajiongeza na kutimka zao kujiunga na chama dola. Wasio jitambua wanaendelea kuishi kwa matumaini ila baada tuu ya Bunge kuvunjwa, kutatokea mass exodus, waliobakia ni wale wagumu kama wewe ambao mnajitambua na mnajua kabisa kuwa Chadema hivi ilivyo, kamee haiwezi kuja kushika dola, ila mnaendelea kuwepo kuonyeshea msimamo usio yumba, baada ya 2020, mnakwenda nayo chini!.Pascal una maana sisi tulio Chadema hatujitambui? Umetoka kuwa Pascal mjenga hoja fikirishi na sasa umekuwa Pascal mpiga vijembe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea ukweli mchungu ngosha!Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola. Ndani ya Chadema kuna makundi mawili, wako wanaojitambua, na wasio jitambua. Wanaojitambua wakiisha gundua Chadema ipo ipo tuu na haina mpango wowote wala uwezo wa kushika dola, wanajiongeza na kutimka zao kujiunga na chama dola. Wasio jitambua wanaendelea kuishi kwa matumaini ila baada tuu ya Bunge kuvunjwa, kutatokea mass exodus, waliobakia ni wale wagumu kama wewe ambao mnajitambua na mnajua kabisa kuwa Chadema hivi ilivyo, kamee haiwezi kuja kushika dola, ila mnaendelea kuwepo kuonyeshea msimamo usio yumba, baada ya 2020, mnakwenda nayo chini!.
P
Kwenye hoja hii
Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!
Sikumzungumzia kisiasa, nilizungumzia matumizi ya ukwasi wake to Chadema advantage, very unfortunately it didn't work out.
2015 ilikuwa Chadema ichukue nchi, ikakwamishwa na kitu kimoja tuu kidogo, reaching out mechanisms to the grassroots movement kutokana na Chadema kutokuwa na media zake. Sasa ni 2020, uchaguzi mwingine ndio huo just around the corner, matukio ya mass mobilization ndio haya, na media yenyewe ndio hawa kina Molemo wanafanya kusaidia tuu, unategemea nini?!.
P
Mkuu Tindo, watu kama nyinyi mnajitambua ndio mtaisaidia Chadema, kitendo cha kukubali Chadema kutokuwa na media yake ni kosa kubwa la kiufundi, kutambua tuu hili ni plus, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa.Ni kweli hilo la cdm kukosa media zake ni kosa kubwa la kiufundi. Ila hata hivyo hii 2020 kama hakuna tume huru ya uchaguzi, basi hakuna uchaguzi bali kuna kipimo halisi cha ujinga wa mtu mweusi linapokuja suala la kusaka madaraka.
Lengo la chama chochote cha siasa ni kushika dola. Ndani ya Chadema kuna makundi mawili, wako wanaojitambua, na wasio jitambua. Wanaojitambua wakiisha gundua Chadema ipo ipo tuu na haina mpango wowote wala uwezo wa kushika dola, wanajiongeza na kutimka zao kujiunga na chama dola. Wasio jitambua wanaendelea kuishi kwa matumaini ila baada tuu ya Bunge kuvunjwa, kutatokea mass exodus, waliobakia ni wale wagumu kama wewe ambao mnajitambua na mnajua kabisa kuwa Chadema hivi ilivyo, kamee haiwezi kuja kushika dola, ila mnaendelea kuwepo kuonyeshea msimamo usio yumba, baada ya 2020, mnakwenda nayo chini!.
P
Mkuu Douglas Sallu, utasubiri sana, maana CCM itatawala milele!.Najua unazungumzia nyenzo hizi lakini nazo zina mwisho na uzuri wake huo mwisho hauko mbali. Na kama kuna chama kitafutika kwenye ulimwengu wa siasa basi ni hili genge la Lumumba kwani hawana tena uwezo wa kufanya siasa nje ya mbeleko ya dola.
Kwa hilo neno 'milele' kumbe wewe ndiye usiyejitambua.Mkuu Douglas Sallu, utasubiri sana, maana CCM itatawala milele!.