Yanayojiri katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA katika Ukumbi wa Mlimani City DSM leo March 8, 2020

Yanayojiri katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA katika Ukumbi wa Mlimani City DSM leo March 8, 2020

Umeongea ukweli mchungu ngosha!
Asante Mkuu Yohane Mbatizaji, ukiwaambia ukweli mchungu hawa jamaa zetu wanaoishi kwenye ndoto za mchana za kuiota Ikulu, ukiwaambia hizi ni ndoto tuu za mchana kweupe, wanakasirika.
Ukweli ni kuwa NEC, ni Tume huru ila sio Shirikishi.
P
 
Paskali huwa unaniachaga hoi ile mbaya, Asikudanganye mtu Paskali, awamu hii ya tano kumekuwa na siasa za kipuuzi mno, kisa tu mwenye madaraka hawezi siasa za ushindani, hivyo anatumia madaraka yake kuhujumu wenye mitazamo tofauti na yake, hadi kufikia wenye mioyo myepesi kufanya siasa za maigizo. Uzuri ni kuwa tunajua hizi siasa za kipuuzi ni za muda fulani. Kwa sasa miaka mitano ya siasa hizo za kishenzi inafikia mwisho, huenda tukawa na miaka mingine mitano ya siasa hizo za kipuuzi. Baada ya hapo tutaanza siasa nyingine.
Mkuu Tindo, mimi kosa langu ni moja tuu, kuwa mkweli. Nashukuru ukweli huu umeuona.
Kama upinzani unakwenda kuwa wiped 2020, hivyo uchaguzi wa 2025 tunaingia with no opposition, uchaguzi wa 2030 ndio upinzani unaanza tena

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P
 
Asante Mkuu Yohane Mbatizaji, ukiwaambia ukweli mchungu hawa jamaa zetu wanaoishi kwenye ndoto za mchana za kuiota Ikulu, ukiwaambia hizi ni ndoto tuu za mchana kweupe, wanakasirika.
Ukweli ni kuwa NEC, ni Tume huru ila sio Shirikishi.
P
pambana utateuliwa one day... umekazana shirikishi, shirikishi. eti na wewe ni mwandishi wa habari..... hovyoooooooooooo
 
Mkuu Molemo, kwanza asante kutuhabarisha and it's good to learn kuhusu Molemo Media, natumaini utatuletea live kupitia live streaming, naona kama umebeba mikoba ya Tumaini Makene, maana simsikii au na yeye ameisha jitambua?.

Hiki unachofanya sasa ndicho tulichowashauri mfanye toka ile 2015, mu invest into mass mobilization strategies za reaching out to reach the masses, mlipaswa muwe na redio yenu, TV yenu na interactive online media ya chama kabisa na sio kutegemea individual efforts.

Jamaa yangu alipokuja ile 2015 nilikuwa na matumaini makubwa
Elections 2015 - Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!

Hata hivyo asante kutuhabarisha.
P
Lowasa mnafiki tu yule mzee atakufa vibaya sana.
 
Lowasa mnafiki tu yule mzee atakufa vibaya sana.
Usiwe watovu wa shukrani, naamini Lowassa alikuja Chedema kwa nia njema ya kusaidia na kiukweli amewasaidia sana!, mgombea gani wa Chadema angeweza kupata kura zaidi ya milioni 6?.

Hoja ya binaadamu yoyote atakufaje, iko nje ya uwezo wetu, sio mimi, sio wewe wa kusema, ni Mungu tuu pekee!.
P
 
ujirekebishe,ujirekebishe, unaudhi wakati wewe ulitegemewa uwe dira ya andishi lenye busara.... Eti tume huru, uhuru utatoka wapi wakati kuna makada wa CCM tupu kwenye tume? Unakera sana....
Kama huo ndio ukweli wenyewe, nijirekebishe wapi?. Ukiwa mkweli wa type yangu, utausema ukweli jinsi ile ulivyo bila kujali ukweli huo utamfuruhisha nani na kumuudhi nani.

Sheria inayounda Tume ya Uchaguzi, NEC ni Tume huru, independent, sheria ikasema rais atateua Mwenyekiti, Mkurugenzi na Makamishna na wasimamizi wa Uchanguzi, returning officials bila kueleza hao makamisha watateuliwa kutoka wapi, hivyo hata akiteua makada watupu hakuna tatizo as long as watafuata sheria, taratibu na kanuni na ndio maana Lowassa kapata kura zaidi ya milioni 6 ambazo ni nyinyi kuliko hata zilizomuingiza JK ikulu ile awamu yake ya pili!.

Hoja ni Tume iwe more inclusive itende haki, uwanja wa ushindani uwe level.
P
 
Mkuu Tindo, mimi kosa langu ni moja tuu, kuwa mkweli. Nashukuru ukweli huu umeuona.
Kama upinzani unakwenda kuwa wiped 2020, hivyo uchaguzi wa 2025 tunaingia with no opposition, uchaguzi wa 2030 ndio upinzani unaanza tena

Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!
P

Uko sahihi, sio upinzani, sema cdm inakwenda kuwa wiped 2020 kwakuwa Magufuli ana nongwa nayo na sio kwa maamuzi ya kura za wananchi. Ingekuwa upinzani unakufa kutokana na ubora wa ccm hata hiyo 2030 hautaamka. Jitahidi kutenganisha upinzani na vyama/chama cha upinzani. Hapa unachohubiri sio ukweli, bali unapalilia matumizi mabaya ya madaraka ndani ya nchi hii. Siku za nyuma kwa kiwango fulani ulikuwa unahubiri huo unaouita ukweli, ila sasa hivi unachanganya unafiki na woga kisha ww mwenyewe unauita ukweli. Hakuna uwezekano wowote wa kuwa mkweli iwapo unaoongozwa na hofu na woga. Ukweli ni mmoja tu, sasa hivi kwenye siasa zetu tunashuhudia matumizi mabaya ya madaraka na sio nje ya hapo.
 
Usiwe watovu wa shukrani, naamini Lowassa alikuja Chedema kwa nia njema ya kusaidia na kiukweli amewasaidia sana!, mgombea gani wa Chadema angeweza kupata kura zaidi ya milioni 6?.

Hoja ya binaadamu yoyote atakufaje, iko nje ya uwezo wetu, sio mimi, sio wewe wa kusema, ni Mungu tuu pekee!.
P
Ndipo shallow analysis yako inapokuja. Lowasa alikuja kutafuta urais! FULL STOP! Lakini pamoja na yote ya urais, CDM ilinufaika! hata wewe hapo USISHANGAE mke wako siyo kuwa anakupenda, ni kwa vile ana something to gain, na wewe siyo kwa vile unampenda, ni kwa vile unapata kitu toka kwake, LIKE WISE LABDA NA MIMI MKE HANIPENDI. UKIFILISIKA/NIKIFILISIKA NDIYO UTAONA UKWELI.
LOWASA ALIPOONA CDM HAKUNA TENA UWEZEKANO WA KWENDA IKULU AMERUDI KWAO... HAKUWA NA NIA NJEMA... ALILETWA KWENDA IKULU. NAKWAMBIA, TAKE THIS AS AN HYPOTHETICAL SITUATION (ISITOKEE, NI MFANO TU TAFADHALI, MUNGU PISHA MBALI SANA) KUKATOKEA MAPINDIZI CDM IKACHUKUA MADARAKA NA KUMKARIBISHA LOWASA AWE RAIS, AMINI ATARUDI!
 
Kama huo ndio ukweli wenyewe, nijirekebishe wapi?. Ukiwa mkweli wa type yangu, utausema ukweli jinsi ile ulivyo bila kujali ukweli huo utamfuruhisha nani na kumuudhi nani.

Sheria inayounda Tume ya Uchaguzi, NEC ni Tume huru, independent, sheria ikasema rais atateua Mwenyekiti, Mkurugenzi na Makamishna na wasimamizi wa Uchanguzi, returning officials bila kueleza hao makamisha watateuliwa kutoka wapi, hivyo hata akiteua makada watupu hakuna tatizo as long as watafuata sheria, taratibu na kanuni na ndio maana Lowassa kapata kura zaidi ya milioni 6 ambazo ni nyinyi kuliko hata zilizomuingiza JK ikulu ile awamu yake ya pili!.

Hoja ni Tume iwe more inclusive itende haki, uwanja wa ushindani uwe level.
P
Pascal hapo ndipo unaniacha hoi. Kwahiyo Makaburu wa South Africa ilikuwa makosa kuwapiga vita maana walichokuwa wanakifanya kilikuwepo kwa mujibu wa sheria halali za South Africa! Yote waliyokuwa wanayafanya yalikuwa na Baraka za Bunge la Taifa la Afrika Kusini! Am I right?
Ila kuna kitu najiuliza, ulipotoka kuhojiwa DDM, kidogho kama siyo sana ukakengeuka! May be una sababu ya kufanya/kuandika kama unavyoandika siku hizi.
 
Makamishna na wasimamizi wa Uchanguzi, returning officials bila kueleza hao makamisha watateuliwa kutoka wapi, hivyo hata akiteua makada watupu hakuna tatizo as long as watafuata sheria
Pascali,unachefua. Kwanini sheria inakataza jaji kuwa mwamuzi wa kesi ambayo inamhusu, ana maslahi nayo? Si sheria zipo atazifuata? Kwanini dunia iliona siyo sahihi, a man to be judge of his own cause.... haki haitatendeka. Haki siyo tu itendeke, bali ionekane mbele za watu imetendeka.. some sort of checks and balances maana human behavior does not strictly follow scientific principles
 
Kama huo ndio ukweli wenyewe, nijirekebishe wapi?. Ukiwa mkweli wa type yangu, utausema ukweli jinsi ile ulivyo bila kujali ukweli huo utamfuruhisha nani na kumuudhi nani.

Sheria inayounda Tume ya Uchaguzi, NEC ni Tume huru, independent, sheria ikasema rais atateua Mwenyekiti, Mkurugenzi na Makamishna na wasimamizi wa Uchanguzi, returning officials bila kueleza hao makamisha watateuliwa kutoka wapi, hivyo hata akiteua makada watupu hakuna tatizo as long as watafuata sheria, taratibu na kanuni na ndio maana Lowassa kapata kura zaidi ya milioni 6 ambazo ni nyinyi kuliko hata zilizomuingiza JK ikulu ile awamu yake ya pili!.

Hoja ni Tume iwe more inclusive itende haki, uwanja wa ushindani uwe level.
P
Natoa ombi kwako, naomba utoe mada,(thread) kuhusu kauli ya Bashiru na dola. Toa maoni yaku kuhusu uhali/ubatili/ukweli/uongo/uthabiti wa kauli yake. Make an informed analysis.
 
Ndipo shallow analysis yako inapokuja. Lowasa alikuja kutafuta urais! FULL STOP! Lakini pamoja na yote ya urais, CDM ilinufaika! hata wewe hapo USISHANGAE mke wako siyo kuwa anakupenda, ni kwa vile ana something to gain, na wewe siyo kwa vile unampenda, ni kwa vile unapata kitu toka kwake, LIKE WISE LABDA NA MIMI MKE HANIPENDI. UKIFILISIKA/NIKIFILISIKA NDIYO UTAONA UKWELI.
LOWASA ALIPOONA CDM HAKUNA TENA UWEZEKANO WA KWENDA IKULU AMERUDI KWAO... HAKUWA NA NIA NJEMA... ALILETWA KWENDA IKULU. NAKWAMBIA, TAKE THIS AS AN HYPOTHETICAL SITUATION (ISITOKEE, NI MFANO TU TAFADHALI, MUNGU PISHA MBALI SANA) KUKATOKEA MAPINDIZI CDM IKACHUKUA MADARAKA NA KUMKARIBISHA LOWASA AWE RAIS, AMINI ATARUDI!
Mkuu Ukuta wa Saka, kwanza naheshimu mawazo yako kuhusu shallow analysis ya ujio wa Lowassa Chadema. Mtu asiye na shukrani kwa madogo, hawezi kubarikiwa makubwa. Nimeuliza bila Lowassa, Chadema ingepata kura zaidi ya milioni 6!. Unajua Chadema imepata wabunge wangapi kwa ujio wa Lowassa?. Unajua hao wabunge wanaingiza ruzuku kiasi gani Chadema?.

Politics is a science and a game yenye malengo. Japo Lowassa aliingia Chadema kuitafuta fursa ya kuingia Ikulu, baada ya kukosekana, it was his right kurejea, ila alipokuja, hakuja mikono mitupu, he brought something, Chadema aliyoikuta sio Chadema aliyoiacha!. Mimi nimehudhuria mkutano Mkuu wa Chadema enzi hizo unafanyikia ukumbi wa Kiramuu, hadi sasa Chadema wanakodi ukumbi Mlimani City!. Nyinyi manazi wa Chadema ndio hamna shukrani na Lowassa lakini Mbowe anamheshimu na anamshukuru mpaka kesho!.
P
 
Chadema ingepata kura zaidi ya milioni 6!. Unajua Chadema imepata wabunge wangapi kwa ujio wa Lowassa?. Unajua hao wabunge wanaingiza ruzuku kiasi gani Chadema?.
Nimeandika CDM ilinufaka sana. Na napingana na watu wanaosema kuwa Lowasa was not an asset alipokuwa/alipokuja CDM. Hapo tuko sawa na wewe. He was a great asset indeed! CDM inabidi wawe na shukrani. Kuondoka kurudi CCM ni pale alipoona hakuna tena nafasi ya karibuni kuingia Ikulu! Twende mbali zaidi kufikiri, may be ukiondoa persecution inayofanywa na Magufuli, may be, I SAY MAY BE, labda angeliendelea kubaki CDM!
 
Japo Lowassa aliingia Chadema kuitafuta fursa ya kuingia Ikulu, baada ya kukosekana, it was his right kurejea, ila alipokuja, hakuja mikono mitupu, he brought something, Chadema aliyoikuta sio Chadema aliyoiacha!. Mimi nimehudhuria mkutano Mkuu wa Chadema enzi hizo unafanyikia ukumbi wa Kiramuu, hadi sasa Chadema wanakodi ukumbi Mlimani City!.
You are absolutely right! Mimi sina ushabki wa kipuuzi! Lowasa ameijenga CDM, tena sana sana! Mfano, ingelikuwa Magufuli siyo kuua, kupoteza, kuwabambikia watu kesi ie persecutions, kuna mambo anayafanya mazuri. But as long as yanainvolve loss of life, to hell with the so called maendeleo! afadhali nile mavi kwenye uhuru kuliko keki kwenye utumwa
 
Back
Top Bottom