Yanayojiri katika Kongamano la Wanawake wa CHADEMA katika Ukumbi wa Mlimani City DSM leo March 8, 2020

Wewe siyo mungu u Pascal unazi wa ccm umekumaliza kabisa!
 
Asante Mkuu Yohane Mbatizaji, ukiwaambia ukweli mchungu hawa jamaa zetu wanaoishi kwenye ndoto za mchana za kuiota Ikulu, ukiwaambia hizi ni ndoto tuu za mchana kweupe, wanakasirika.
Ukweli ni kuwa NEC, ni Tume huru ila sio Shirikishi.
P
Ikitokea wameshika dola itakuaje
 
Hovyo; mbona uhalali wa matokeo ya uchaguzi 2015 haujawekwa wazi?
 
Wewe siyo Mungu
Pascal unazi wa ccm umekumaliza kabisa!
Mungu ni Mungu na binadamu ni binadamu, hakuna mtu yoyote anayejifanya Mungu, na ninachofanya mimi ni kuwasomea tuu political trends za kuelekea 2020 zinaonyesha Chadema ikielekea ukingoni.

Hili la unazi wa CCM ni maoni yako na nayaheshimu.
P
 

Lowasa ni kweli alipeleka hamasa kubwa ndani ya Chadema lakini ni naamini Dr. Slaa alikuwa anauwezo wa kuvunja hiyo record ya Lowasa ya kura 6m
 

Kwa hili uko yawezekana uko sahihi lakini pia sio uhalali wa kukufanya uamini kuwa ndiyo ilikuwa hali halisi..ukumbuke katika kipindi ambacho lowasa anajiunga cdm tayari ccm ilikuwa imeshapoteza Imani na mbili kwa wananchi kwa hiyo kwa namna yoyote ile lazima Chadema walikuwa wanavuna kura nyingi sana na sio ni kwa sababu ya ujio wa lowasa,na pia kitu ambacho haujaribu kukiwaza ni kwamba kwa ujio wa lowasa cdm na kumtosa dr.slaa kumewapunguzia cdm kura nyingi sana kutokana na kwamba tayari cdm kupitia dr slaa watu walipata kuhamasika sana na hivyo alivyoshuka lowasa ilimnufaisha sana magufuli kutokana na ukweli kwamba lowasa alikuwa ameshachafuka sna.
 



..hotuba ya Mh.Halima Mdee inatoa mwanga zaidi kuhusu dhima nzima ya mkutano wa bawacha.

..sikiliza hotuba ya Mh.Mdee hapa.


cc tindo
 
Nasikia bashite kaenda na matakoo yake makubwa kazuiliwa kuingia
 
Kwenye mahesabu ya chama itaonekana vimenunuliwa vitenge 1000 kwa ajili ya sare za kina mama wa Bavicha!
Chadema hakuna mambo ya kijinga kwa level hiyo kama CCM.
Vitenge kila MTU kajinunulia kwa mapenzi yake na nauli kajilipia sio kuletwa na malori.
Ukiangalia picha hii utajua mengi tofauti ya UWT na Bavicha, kama unajuwa kusoma picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Joka Kuu, asante kwa taarifa hii, nitasikiliza.
P

..nadhani ktk viongozi wa CDM Mh.Mdee yuko vizuri.

..she is very bold, na ana kipaji cha kuzungumza mambo ya kisomi kwa lugha inayoeleweka na mwananchi wa kawaida.
 
Kama katibu mkuu wao ana PhD lakini hamnazo, unadhani hawa mavuvuzela watakuwaje?
Nikuwaacha tuu bila kuwajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…