Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Vumilia dawa isambae
Hahahaaaaa, naomba nikuambie kitu mkuu, Marekani ndiyo muhimili wa dunia.

Marekani kuna wasabato, wayahudi, waislamu, mashoga, wahindi, walokole, wachina, wasagaji, wabudha, weusi, wahindu, wapagani, washinto, wazungu, wakorea, wajapani, wasunni, washia, wahuni, wakatoliki na kila aina ya watu au jamii unayoijua duniani.

Wako kule na wanaishi kwa amani!
Unapoliombea mqjanga taifa kama hilo wewe ni K!
 

Last time sera zake zilikuwa hizi hizi na akagaragazwa ingawaje ilikuwa kwa margin ndogo...

Ngoja tuone mwaka huu swing states zitapiga vipi kura, raia wengi wameichoka Democrats...
 
Kama ilivyo desturi, kura za kwanza zilipigwa na wakazi sita wa Dixville Notch, New Hampshire, usiku wa manane saa za huko, na watatu walimpigia kura Trump huku watu watatu waliosalia wakipimpigia kura Harris.

Na kura za maoni zinaonyesha kuwa Harris amechukua uongozi katika jimbo kuu la Pennsylvania, na ana uongozi mdogo huko
Wisconsin na Michigan.

Wakati huo huo Trump bado ana uongozi mdogo huko Nevada, Georgia, North Carolina, na Arizona

Source BBC swahili
 
Nasemaje......
Pamoja na USA kutuletea mambo ya gender equality, lakini wao kamwe hawawezi kufanya upuuzi kwa kumpitisha mwanamke aitawale nchi yao aiseeee.

Hapo minajua Trump atashinda then watatengeneza zengwe kwamba Elon Mask ameingilia mfumo ili Trump ashinde
 
Unaelewa unachoongea au unaongea ili mradi tu?

Hiohio mentality iliwasukuma USA kuwapiga sanctions Huawei (china) haya umesikia kufuru anazofanya Huawei kwa sasa?
Kwa hiyo kwa comment hii ndio unajiona unajua sana! Basi tufanye wewe ndio mtaalam wa masuala ya uchumi.
 
Hapana mkuu!

Wakiona anashindwa mtu wao wanacheza na system Hadi kieleweke!

Awam ya pili ya obama ilibidi kura zihesabiwe manually Ili Obama ashinde kiti Kwa mara ya pili!!Mc Cain alim tight obama sana!
Bush ndo aliiba mchana kweupe,hadi kesi mahakamani
 
Tatizo ni lugha au? Mbona unajihaibisha hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…