Prof Janabi wa JF
Senior Member
- Jul 7, 2023
- 189
- 490
Ogopa mifumo, watu wako siriaz na kazi zao. Mifumo yao imejengeka sana.kati ya trump na kamalla, kwa future ya marekani bora ashinde TRUMP, yule maza cheka cheka ataingizwa chaka na wahuni kama anavyoingiza maza yenu huku, na USA itaanza kuwa ya hovyo, isiyotawalika, uhuni utazidi, magenge yatazidi, wahamiaji watazidi,na uchumi utaanza kuathirika, baada ya muda CHINA ana take over u superpower.
Acha papara anything can happen hilo halina ubishi.
Ila mada yako umeianzisha mapema kwa ushabiki tu, at this point in time; those early results contradict nothing from the ‘exit poll’.
Mjinga mwingine huyuTrump anaongoza Texas, akimpiga hapo it's done and dusted
Ndio maana nikakwambia umeandika kishabiki.Nyota njema kuonekana asubuhi hukuiona?
Kukerwa na vita si ushabiki.
Bila shaka usayuni utakuwa unakutafuna.
Kwa kutosimamisha vita duniani, ninakazia:
"Akwendree tu ni heri ya adui kuliko minafiki!"
Ndio maana nikakwambia umeandika kishabiki.
Uchaguzi wa marekani unaenda na electoral colleges na kuna maeneo ni hard core republican na mengine ni hard core Liberals.
Mimi sifuatilii uchaguzi, ila kama eneo linalo tangazwa ni ngome ya Republican surely watachukua colleges nyingi.
Kwa muda huu mchanga ni mapema sana kumshabikia mtu.
The mere fact umeleta mambo ya usayuni inaonyesha utoto wako. Mtoto wa Trump (Ivanka Trump) mumewe ‘Jared Kushner’ ni Jew; mtu ambae Trump alipokuwa raisi alimteua kuwa M.E envoy wa US na kupeleka kufungua embassy Jerusalem (not sure you understand how that was controversial in M.E politics).
Ndio maana uwa ninasema over 90% ya wachangiaji wa jukwaa la siasa hata siasa zenyewe hawazijui.
Goodluck!Unaonekana kuwa na machungu sana na huyu mama.
Nani asiyejua ya electoral colleges labda mbumbumbu asiyemo jf humu. Hayo eleza wanao wa chekechea nyumbani.
Msingi wa hoja:
"Nyota njema huonekana asubuhi na tayari keshaanza kuchezea kichapo na alipo kimuhe muhe kinamhusu!"
Kwa hakika acha apigwe:
Ama kwa hakika kulia na kucheka yote kwa zamu!
Nisiache kukwambia acha ujuaji ndugu.
"Anonymity uionayo humu usipoielewa unaweza kujidanya kushauri wakuu wako!"
Goodluck!
Braza Juma uko na shida sana wewe asbh yote hii una acha kuenjoy morning glory unakuja kumchamba kamala hapa
mambo bado sanaKwa mwendo huu Trump anamla mtu kichwa mapema asubuhi.
View attachment 3144749
Akapumzike nyumbani Kamala Harris, Dunia haitaki vita!
Alikuwa wapi kusimamisha vita vinavyorindima duniani kote?
Akwendree Kamala Harris.
Well it’s because you are ambitious and have your pre determined election results in your head.Did I ask for any?