Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)

Results are only viewable after voting.
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani

Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.

China ndio superpower ajaye.

Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.

Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.

Goodbye America, Welcome China.
Trump ana sifa gani mpaka unasema USA no longer deserve a president like him? Mhalifu?
 
Trump sio criminal, he was criminalized but he won.

Angekua mhalifu usingewaona watu straight & pure kama Dr. Ben Carson wanampigia chapuo

Mhalifu ni Kamala na genge lake lililopo kwenye Epstein list
Unajua siku hizi watu wanasikiliza sana vyombo vya habari kuliko kutumia akili zao. Trump ana makando-kando yake, lakini linapokuja suala la urais, hakuna wa kumfikia hadi sasa.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingekubaliwa hata na chama chake mwenyewe. Marekani sasa kuna syndicate inayojimilikisha na kujiamulia kila kitu kinyume na demokrasia ya umma.

Mfano mzuri ni vita vya Ukreni. Genge la Kamala linata vita viendelee hadi kesho kutwa, wakati ambapo Trump anataka vita viishe haraka iwezekanavyo.

Kwa jambo hilo moja tu, Trump ndiye man of the match kwa sasa!
 
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani

Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.

China ndio superpower ajaye.

Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.

Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.

Goodbye America, Welcome China.
Harris anamtazami Gani kuhusu Israel?

Mi nataka atakayeinhia aisaidie Israel kuipA Vifaa vya kivita basi.
 
Kamala na Trump hawatofautiana sana kisera kuhusu Israeli na mahasimu wake, kama ilivyo kule Ukreni.

Tofauti tu ni kwamba Trump anadhani Kamala amelega-lega sana kuchukua hatua madhubuti ili kuwakingia kifua wana wa Yakobo hapo Mashariki ya Kati.
 
Policy za Kamala.. hilo somo refu kdg

Pia kamala yupo pale kulinda watu. Trump amesema akirudi madarakani anadeal na Epstein list (Epstein alikua na kesi kama ya pdidy ila wakamuulia jela ili kumzima asije sema waliokuwa washiriki wake, na kwenye hao washiriki hadi billgates, red hoffman, na vigogo wengine wote wamo).

Raisi anaengia kulinda waovu kwenye nchi kubwa kama USA ni janga, hayo mambo ni ya kuyafanyia nchi za kiafrika
Trump mwenyewe alifaidika na huduma za Epstein
 
Trump Kisha tayarisha kikosi kazi kuwachataza wanasiasa wenzake ikiwa atatangazwa kadhindwa
Yeyote atakaeshinda ni the same shit hana manufaa kwao na ulimwengu. Deni laolitazidi kupaa na kuendeleza vita duniani
 
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani

Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.

China ndio superpower ajaye.

Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.

Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.

Goodbye America, Welcome China.
Akili kubwa ndio zitakuelewa mkuu
 
Unajua siku hizi watu wanasikiliza sana vyombo vya habari kuliko kutumia akili zao. Trump ana makando-kando yake, lakini linapokuja suala la urais, hakuna wa kumfikia hadi sasa.

Angekuwa mtu mwingine, wala asingekubaliwa hata na chama chake mwenyewe. Marekani sasa kuna syndicate inayojimilikisha na kujiamulia kila kitu kinyume na demokrasia ya umma.

Mfano mzuri ni vita vya Ukreni. Genge la Kamala linata vita viendelee hadi kesho kutwa, wakati ambapo Trump anataka vita viishe haraka iwezekanavyo.

Kwa jambo hilo moja tu, Trump ndiye man of the match kwa sasa!
Tatizo lenu mtanaka trump ashinde uchaguzi ili aje kumpa Russia ushindi alafu baadae mje kuicheka hiyo hiyo USA na NATO hizo ndo akili zenu,
 
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani

Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.

China ndio superpower ajaye.

Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.

Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.

Goodbye America, Welcome China.
Mchambuzi kutoka vijibweni.. pole na hisia potofu US wanamisingi imara hawamtegemei binadamu kama nuinyi mlivyo pa ushujaa Magu.. pale hata wewe kama upp vyema upstairs wanakupa nafasi.

Kinachokufanya uone trump nikiongozi sahihi ni kwasababu ya akili yako ya kinyonge kitanzania.. kwamba kiongozi ni yuleyule anaefokafoka.
 
Mimi ni shabiki wa Trump lialia, lkn Kamala anashinda na ndio mwisho wa dola ya Marekani

Marekani kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa very very weak.

China ndio superpower ajaye.

Ray Dalio aliwahi kutabiri anguko la Marekani na kwenye kitabu chake cha "New World Order" alionesha namna trend za hizi super powers zinavyokua na kupotea. Marekani ipo mwishoni mwake, na kwa super powers wengi wakifikia hapo basi raia zake wanakuwa wameendekeza ujinga, zinaa, uhuni, na hao ndio watapigia kura mtu asie na uwezo na kumuweka madarakani.

Trump atashindwa sio kwamba hana uwezo, lkn ni kwamba USA does no longer deserve a president like him.

Goodbye America, Welcome China.

Pia soma:
LIVE - Yanayojiri kuelekea Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Trump ndio Rais ajaye
 
Hashindii
 
Back
Top Bottom