Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Huo uislam umekua chakula had kila mtu mnataka aufuate....shwainKwangu naona wote ndio hao hao against Islam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo uislam umekua chakula had kila mtu mnataka aufuate....shwainKwangu naona wote ndio hao hao against Islam
Unafuu gani??,urusi ana miliki 25% ya ardhi ya Ukraine.Urusi walimtaka Trump Ili huko Ukraine wapate nafuu.
Hagombei tena ...Hivi Trump akishinda uchanguzi unao kuja atagombea tena au ndiyo atakuwa amekamilisha mihula 2?
mambo bado sana
Unafuu anaoutaka ni Trump kumshinikiza Zelensky kuzungumza nae kumaliza vita.Unafuu gani??,urusi ana miliki 25% ya ardhi ya Ukraine.
Anapiga na kujenga.
Democrats wanapenda kuanzisha vita hovyo hovyo! wache washindwe tu.Kamala anaunga mkono ushoga, na pia akishinda, vita ya Ukraine na Gaza haitaisha
Hata tukipiga haisaidii maana tumeshaambiwa wanaohesabu kura ndio huamua mshindi.Nyie wapiga kura wenyewe hamjitokezi.
Then mnategemea chaguzi za raha!!
Tusubiri mpaka mwisho
Obama was black, hata obama watu hawakudhani siku itafika, sisemi kwamba kamala anachukua ndoo ila kadiri miaka inavosogea itakuja tokea tuHamna black president na Rais Mwanamke aliwahi kutoke USA.Barrack Obama alikuwa half cast sio mweusi,Mama yake alikuwa mzungu.
Ameshashinda tayari ana kura 246 bado 24 tu atangazwe 🐼
Elon musk hapati usingizi sababu ya uchaguzi ILA wewe unasema hata tukipiga haisaidii.Hata tukipiga haisaidii maana tumeshaambiwa wanaohesabu kura ndio huamua mshindi.
AZ 11
WI 10
MI 16
PA 20
GA 16
Total = 73
Trump = 230 + 73 = 303
Kûna uwezekano hesabu IKawa hivyo kama matokeo yanayoonekana yakawa hivi yalivyo sasa
Raisi hana impact hukoKwa jicho lingine tu kujua rais ni mwanaume inamaana fulani kwenye kubalance gender.
Huku kwetu tukiendelea kupiga kura kwa mazingira haya haya yaliyopo. Ni sawa tunafanya mazoezi ya kwenda kwenye kituo chw kupiga kura. Sana sana watu wajiandikishe wapate vitambulisho viwasaidie kwenye mitikasi ya kila siku.Elon musk hapati usingizi sababu ya uchaguzi ILA wewe unasema hata tukipiga haisaidii.
Dah!...Wale Waarabu, waislamu na Wapalestina wa Michigan wameamua kuiadhibu Democrat ila sidhani kama Trump atakuwa nafuu kwa Wapalestina.
Hii ni ya chembe cha moyo si popular votes wala electoral colleges.
Kwa hakika kagaragazwa, heri ya Hilary.