Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Hamna black president na Rais Mwanamke aliwahi kutoke USA.Barrack Obama alikuwa half cast sio mweusi,Mama yake alikuwa mzungu.
Obama was black, hata obama watu hawakudhani siku itafika, sisemi kwamba kamala anachukua ndoo ila kadiri miaka inavosogea itakuja tokea tu
 

Attachments

  • Screenshot_20241106-005138.png
    Screenshot_20241106-005138.png
    196.8 KB · Views: 2
Trump kashinda Georgia sasa ana electral votes 246 amebakiza 24 tu atangazwe mshindi
Screenshot_2024-11-06-09-00-13-97.jpg
up
 
Elon musk hapati usingizi sababu ya uchaguzi ILA wewe unasema hata tukipiga haisaidii.
Huku kwetu tukiendelea kupiga kura kwa mazingira haya haya yaliyopo. Ni sawa tunafanya mazoezi ya kwenda kwenye kituo chw kupiga kura. Sana sana watu wajiandikishe wapate vitambulisho viwasaidie kwenye mitikasi ya kila siku.


Ukweli ni huu
 
Dah!...Wale Waarabu, waislamu na Wapalestina wa Michigan wameamua kuiadhibu Democrat ila sidhani kama Trump atakuwa nafuu kwa Wapalestina.

Matawi ya juu msayuni mtukuka unaitwa huku.

Ni hayo tu ndugu matrix kwa maana wengine dini tunaamini kila mtu ana yake na masuala binafsi, labda kwenye matambiko -- JKN!
 
Back
Top Bottom