Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Huo black wa Obama wewe unautoa wapi au ndio kulazimisha awe Black,mtu aliyezaliwa na muzungu na mwafrika anakuwaje black??-huyo ni half-casteObama was black, hata obama watu hawakudhani siku itafika, sisemi kwamba kamala anachukua ndoo ila kadiri miaka inavosogea itakuja tokea tu