Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Yanayojiri katika Uchaguzi Mkuu Marekani 2024: Nani kuibuka kidedea?

Nani atashinda uchaguzi USA November 5, 2024?

  • Republicans (Donald Trump)

  • Democrats (Kamala Harris)


Results are only viewable after voting.
Ksmala huyu anayesupport ushoga na utoaji mimba?
Anae support ni kamala au wamarekani wenyewe? Hakuna rais ataliondoa hilo, wamarekani wenyewe ndio wanataka na hakiwapi shida, hali athiri uchumi wao wapanmaendeleo ya nchi
 
Hiyo ni faida kwa Russia au ni kwa Ukraine?
Faida kwa Russia maana anakalia eneo kubwa la Ukraine, isitoshe Ulaya pekee haiwezi kuisaidia Ukraine kuendeleza vita.

Ila kule Gaza naogopa Wapalestina wasije wakakandamizwa zaidi.
 
Huo black wa Obama wewe unautoa wapi au ndio kulazimisha awe Black,mtu aliyezaliwa na muzungu na mwafrika anakuwaje black??-huyo ni half-caste
Kwaninwamarekani wenyewe wanamuitaje. Black, white, hispanic, indian? Au ushawai sikia wanamuita mtu half cast mkuu🤣
 
DT yupo karibu ya red line
 

Attachments

  • Screenshot_2024-11-06-09-11-39-346_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-11-06-09-11-39-346_com.android.chrome.jpg
    228.3 KB · Views: 2
Trump ana bahati ya kukutana na wagombea dhaifu-Wanawake.
Mtu yoyote Mwanaume akigombea Urais na mgombea Mwanamke ni rahisi kushinda.
Dunia haijawahi kuamini katika kuongozwa na mwanamke.
 
Ni kweli bosi, ila kwenye mifumo dume hata kama baba kwenye nyumba kazi yake kuvaa suruali tu ila kama nyumba ina Baba inaheshimika hata kama mama ndiyo bread winner wa familia. Lijue hilo na ndicho nilimaanisha
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom