Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Yaani kwa taarifa tu hakuna mtu mwenye muda na huyo mabagafresh.
 
Hi taarifa mleta mada uliileta saa nne asubuhi saa hizi inaelekea saa kumi na Moja Giza linaingia napata hasira hamna update hiyo ya Geita?.Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema badio hakijamaliza kazi tu?
 
TAL. Kanyaga twende.
 
We know who you are.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Yaani una roho ngumu mpaka Shetani anakushangaa aisee, maana nasikia Mwenyekiti amekataa kutoa hela ya kujibizana mitandaoni, lakini wewe nakuona bado umo, au bado posho yako haijakatika??
 
Niko Katoro hali si ya kawaida kila nikigeuka Lissu Lissu nikasema kuna nini, yani kuna taharuki kila mtu amekaa atention akisema anatokea anatokea..ukiangalia magari yanayokuja sio yeye..

Huyu jamaa anawaharibu watu vichwa, shughuli za uchumi zilipaswa kuendelea, hivi sio sawa
 
Very desperate eh?
 
Mbona wanasema mabango ya ccm yamejaa sana hapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…