Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

Yaani haka kajamaa kaongo kweli mbona hutumi picha za mapokezi ya Lissu Katoro na Geita???
 
Hi taarifa mleta mada uliileta saa nne asubuhi saa hizi inaelekea saa kumi na Moja Giza linaingia napata hasira hamna update hiyo ya Geita?.Kitengo Cha uchakachuaji picha Cha Chadema badio hakijamaliza kazi tu?
Wanaujua mziki wa Geita Lowassa alipita pale akajinyea jee huyu mabagafresh sianaenda kujiharishia.
 
Mbona mama yako anajibizana mtandaoni bila kupewa hela?
 
Yaani haka kajamaa kaongo kweli mbona hutumi picha za mapokezi ya Lissu Katoro na Geita???
Subiri kidogo giza liingie kitengo cha uchakachuaji picha Cha chadema bado wako studio wanamalizia kazi
 
NI YEYE.

Geita chato na Viunga vyake shamra shamra ndelemo na vifijo kumlaki Rais wao.

Kazi zote zimeaimama Geita wajasiliamali,watumishi wa Uma,vibarua machinga Boda boda wapo njiani kumpokea Mkombozi wao.
Naomba picha za hao watumishi wa Umma majasiri niwaone
 
M Kawadanganye amabao hawako Katoro! Narudia tena niko hapa stamiko watu wajo busy nashughuli zao Kama kawaida.
 
chuki zako zinakufanya hata mtanzania mwenzio umwite mbeligiji?
 
Dawaamul haal minal muhaal acha kukariri we nguchiro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…