Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Kati ya Alie wasababshia kifo watu na ambae akwenda msibani yupi Hafai?Siku nilpo ichukia CCM maisha yangu yote nisiku ambayo kivuko cha nyerere kilizama afu kada wachama chamapinduzi ambae ndio kiongozi waulinzi na usalama anasema tusitishe uokoaji adi kesho saa moja asubuh.wakat kunawatu wapo ndani yamaji wanagonga kuomba msaada.ivi Roho unaweza iambia ustoke paka kesho waje waniokoe?Tuliokulia ziwani tunajua fika wavuvi huvua usku tena kwanyenzo duni kabsa Kama kalabai,mitumbw.selikal ilshndwa nn kutumia nyeso Kama taa zasora,boti zainjin kuwaokogoa ndugu zetu sku ile?.;Niimani yangu hakuna mpumbavu tena waukelewe atakae woza ipa kura CCM ili ije iwauwe tena.
 
Mkuu naona Magufuli kaamua kutupigia makelele na Chopa lake huku Kawe. Ameshapita kwenda Bagamoyo baada ya mkutano wa Tanganyika Packers kudoda ila Chopa lake limebaki kutupigia makelele na kupiga round angani. Yani utoto tuuuu
Kwani tanganyika packers sio jioni?
 
Sikio la kufa halisikii Nini tena?
 
Rorya kwa Wenje wa magufuli.
Hii wasisahau kuikumbushia ili kuweka misumari wa inchi 6 kabisa kwamba hata Magufuli alishamkubali Mh. Ezekiel Wenje. Machifu wa Kiluo ndio basi kabisa wakishamkubali Wenje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…