Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #141
Hakika kama hali ndio hii CCM wajiandae kukabidhi madaraka kwa utulivu tuu kwani ukweli ni kuwa wamechokwa na wao bila kutambua wanalazimisha kuchokwa zaidi na kuchukiwa.
Kitendo cha kumfanyia figisu Lissu asiende kisiwani Ukerewe eti Kivuko kibovu kisha Lissu akaamua Ku risk na kutumia mtumbwi ili afike Ukerewe kimemgeuza kuwa Shujaa mkubwa na ukijumlisha na spana alizochakazia huko basi mambo ni bambam na CCM Imeisha.
Jee kweli CCM itapona mwaka huu? Maana hata wazee na kinamama ambao ndio walikuwa tumaini kuu la CCM nao wameitosa CCM na Magu ndio kabisa hawataki kumsikia.
Mkuu shukrani sana