Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Uchaguzi 2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Majimbo ya Ukerewe na Rorya

Hakika kama hali ndio hii CCM wajiandae kukabidhi madaraka kwa utulivu tuu kwani ukweli ni kuwa wamechokwa na wao bila kutambua wanalazimisha kuchokwa zaidi na kuchukiwa.

Kitendo cha kumfanyia figisu Lissu asiende kisiwani Ukerewe eti Kivuko kibovu kisha Lissu akaamua Ku risk na kutumia mtumbwi ili afike Ukerewe kimemgeuza kuwa Shujaa mkubwa na ukijumlisha na spana alizochakazia huko basi mambo ni bambam na CCM Imeisha.

Jee kweli CCM itapona mwaka huu? Maana hata wazee na kinamama ambao ndio walikuwa tumaini kuu la CCM nao wameitosa CCM na Magu ndio kabisa hawataki kumsikia.

Mkuu shukrani sana
 
Lissu uko anapoteza muda tuuu
1602710330586.png

Anapoteza muda kama hivi? Ona yalivyokushuka!
 
Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?

Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Nafikiri umegundua kumbe Yale mnayokaa pale Lumumba na kujilisha upepo na Dr Bashiru na Polepole na tofauti sana na uelewa was RAIA kwa sasa huku mtaani.

Tanzania ya Tundu Lissu sio ile ya Lowassa au Slaa, hii in tofauti kabisa.
Hadanganyiki mgombea wala hawadanganyiki wapiga kura. Umeona hata Chato, wananchi hawajali propaganda zenu zaidi ya AIBU ya kuleta vijana wavuta bange 10 au 15 eti wafanye fujo.
 
Wakazi wa ukerewe msiniangushe kama ni shida kupatikana basi mkayatafute kwenye vifusi kama kunanyumba ilibomolewa mnayajaza kwenye viroba mnasogea nayo karibu.
Kama wafuasi mna akili hizi basi tuna safari ndefu mno
 
Kweli kabisa mkuu hata matendo wanayofanya Polisi ni ya kichonganishi. Taahira yeye anafikri wako upande wake! Wanavyopiga raia ovyo ovyo wanaichafua serikali ili wananchi wachukue!
Ila watz tumekua mazuzu... Labda tunasubiri October 28 lkn ccm imeonyesha matendo yote ya kigaidi na kishetani na hii ni serikali ya kishetani kabisa lkn tuko kimya...
 
Mtu aliyeshindwa uongozi kutosha kwake ni kupi ?
Nani ameshindwa uongozi..Nyie lienilieni tuu maana hamna jinsi na mwaka huu CCM itawafundisha siasa za kimaendeleo na kuachana na uanaharakati.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Ila watz tumekua mazuzu... Labda tunasubiri October 28 lkn ccm imeonyesha matendo yote ya kigaidi na kishetani na hii ni serikali ya kishetani kabisa lkn tuko kimya...
Kwa kweli watz tumedharauliwa sana na hawa maccm. Ona walivyomfanyia roho mbaya Lissu kwenye kivuko sisi tuko kimya tu! Wanarusha mawe wananchi tuko kimya tu!
 
Nani ameshindwa uongozi..Nyie lienilieni tuu maana hamna jinsi na mwaka huu CCM itawafundisha siasa za kimaendeleo na kuachana na uanaharakati.

October 28 kura zote ni kwa JPM

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Siasa za kipumbavu mwaka huu hazina nafasi!
 
Kwa kweli watz tumedharauliwa sana na hawa maccm. Ona walivyomfanyia roho mbaya Lissu kwenye kivuko sisi tuko kimya tu! Wanarusha mawe wananchi tuko kimya tu!
This is so sad. Maccm yanalazimisha kwa nguvu watz wapigane. Tutafika tu huko
 
Back
Top Bottom