Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Jimbo na Mbunge alikuwa wa CHADEMA na alikuwepo kutuwakilisha lakini wewe mjinga wa CCM unataka mimi pia ningekuwepo na Mh. Lissu angekuwepo huku ukijua na WanaUkerewe wote mnajua wakati ule alikuwa anapigania uhai wake msiojulikana mlipotaka kumuua. Rais wa nchi anayewakilisha wananchi wote, wa Vyama vyote na wa Makabila yote alikuwepo sasa nyie vilaza tatizo liko wapi? Angekosekana Rais ambaye ndo mmiliki wa Kivuko kilichopata ajali ungempigia nani kura yako?Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere