Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #81
Ukerewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UkereweLisu yuko njiani kuelekea ukerewe .
Chadema hawakukanyaga kwenye mzishi ya mamia ya wana Ukrerewe waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere ila sasa viongozi wataenda kujazana kule kuomba kura wasivyokuwa na haya.Jimbo la Ukerewe kipindi cha ajali hiyo lilikuwa chini ya CHADEMA na mbunge wa CHADEMA.
Baada tu ya mazishi alianchia ngazi kwa uchungu wa kuona chadema taifa hawakukanyaga kwenye mazishi ya mamia ya watu wa ukerewe wakati alipokufa Ndesamburo walifurika na kuitisha michango kibao na hata mbwa wa Nassari alipokufa uongozi wa Chadema ULIHUDHURIA MAZISHI Lakini Mazishi ya WANA ukerewe wapiga kura wao hawakwenda
Sasa siuende ukawaambie wana ukerewe hayo maneno yako?Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Hapa ndipo wanapochachawa wana Lumumba
Mnapenda kuua ili mzike???Hapo ukerewe mnakoenda ndipo hapo mamia ya watu waliokufa kwa ajali ya MV Nyerere wengi wakiwa wapiga kura wenu CHADEMA ila mazishi hamkukanyaga sasa kinawapelela nini hapo?
Ushahidi huu hapa
Mdee anena kuhusu viongozi wa CHADEMA kutohudhuria mazishi ya waliokufa kwenye ajali ya MV Nyerere
Safari hii wanapambana na mgombea chuma hasaHapa ndipo wanapochachawa wana Lumumba
NdebileChombo gani cha habari kionyeshe matusi ya wagombea wenu wewe! Acheni kuvimbiwa ruzuku, anzisheni vyombo vyenu vya habari, sio kutegemea gazeti la Mbowe!
Wanakujua basi?Wakazi wa ukerewe msiniangushe kama ni shida kupatikana basi mkayatafute kwenye vifusi kama kunanyumba ilibomolewa mnayajaza kwenye viroba mnasogea nayo karibu.
Iyo nyekundu kwenye avatar yako inaashiria mauwaji (umwagaji damu)??? Naomba jibu please.Wakazi wa ukerewe msiniangushe kama ni shida kupatikana basi mkayatafute kwenye vifusi kama kunanyumba ilibomolewa mnayajaza kwenye viroba mnasogea nayo karibu.
Khaa ,huku duniani hakika kuna watu wanaroho ngumu aiseee.mwaka huu ni Wa tofauti aisee.mwanza had I ukerewe kwa mtumbwi daah.Kashapata plan BView attachment 1599700
Mkuu nimemvulia mwamba kofia aisee..ina wezekana ikawa kweli kwamba huyu ndie masihi ajaye.yohana alikuwa anamsafishia njia apite..Mwamba Ni mwamba anatoa maamuzi on the spot yaani lolote linaweza kutokea mda wowote na likapatiwa jibu
Na bado huwa linawatoa kimasomaso waliokaa na kulisuka kwa mda mrefu
Na kanga zimetandikwaIkiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya.
Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1599573
=======
Hujuma : Huduma ya kivuko kuelekea ukerewe imesitishwa tangu saa 3 asubuhi baada ya Lissu kufika kivukoni na wahudumu wameamrishwa kujivicha , tunaposema ccm imeishiwa huwa hatutanii
View attachment 1599697View attachment 1599698
Atumia Mtumbwi kufika ukerewe baada ya kufanyiwa hujuma za kishamba na Mamlaka
View attachment 1599769View attachment 1599770View attachment 1599771View attachment 1599772
View attachment 1599895
======
Ukerewe noma !
View attachment 1599698View attachment 1599768View attachment 1599936View attachment 1599937View attachment 1599938View attachment 1599939
Na huyo ndie tuliekuwa tunamsubiri kwa hamu,nchi yetu sasa inaenda kustaarabika na kuwa kuheshimikaSafari hii wanapambana na mgombea chuma hasa
Hakika !Na huyo ndie tuliekuwa tunamsubiri kwa hamu,nchi yetu sasa inaenda kustaarabika na kuwa kuheshimika
Nikama nyekundu ya Chadema.Iyo nyekundu kwenye avatar yako inaashiria mauwaji (umwagaji damu)??? Naomba jibu please.
Wananijua,kuna binti wa huko nilikuwa namtafuta binti wa Mzee Magesa.
Anawajua Wakerewe anawasikia? Kisiwa kidogo lakini mpaka Leo kimesomesha maprofesa zaidi ya 50!Sasa siuende ukawaambie wana ukerewe hayo maneno yako?
unachangia kwenye uzi huu au umepotea jukwaa?
Uvccm wamechanganyikiwa vibaya sana !Huyu akili kaziacha nyumbani
Yule asiyejua kuoga?Wananijua,kuna binti wa huko nilikuwa namtafuta binti wa Mzee Magesa.