Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya.
Kama kawaida yetu tuko hewani kukuletea kila kinachojiri kwenye mikutano hiyo .
Endelea kubaki hapahapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1599573
=======
Hujuma : Huduma ya kivuko kuelekea ukerewe imesitishwa tangu saa 3 asubuhi baada ya Lissu kufika kivukoni na wahudumu wameamrishwa kujivicha , tunaposema ccm imeishiwa huwa hatutanii
View attachment 1599697View attachment 1599698